Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Inawezekana ulichepuka akagundua, ndo sababu anaona we mbwa.
Ukigundua wewe ni 'mbwa' maana'ake kuna 'honey' wake mahali..
Mkuu, ukweli mchungu ni kuwa hapo huna mke!
 
Inawezekana mkiwa kwenye kugegetana hupendelea kubebwa mgongoni yaani mtindo wa mbwa. Halafu mbona umeandika kwa kujikweza saaana na kujionesha huku JF umekosea njia si kwako! Tukija kukuibia utalalamika bila sababu ya maana.
 
MBWA = Management By Walking Around - hongera
 
USHAURI WANGU ! ANZA KUBWEKA KAMA MBWA.....wood! Woow! Wuwuwuuuuuuu! Biniua na mdomo juu kuelekea alipo mke wako!

Fanya hivyo mfululizo hadi mkeo ahisi umechanganyikiwa!

Hakika kitakachofuata utarudi kunishukuru!
Pole sana Mr. dog

Ila kwa mbali unatabia za mbwa unatueleza HAbari za NETFLIX, Na smart TV za nini kwenye habari za mbwa!
Una matatizo siyo bure
 
Bila kuweka picha huo utakua uzushi tu
 
Unashindwa kumuuliza Mkeo kwa mini amekusave Mb2a? Basis kweli wewe no Mbwà!
Ni haki yake ya kidemokrasia Ku save jina lolote kwenye simu yake hata angemsave jina paka sawa tu

Mkome kupekua simu za watu
Ukitaka ugonjwa wa moyo penda kuangalia simu ya mume,mke,baba,mama,shangazi,mjomba,mtoto nk

Ugonjwa wa moyo kama huna utaupata
 
Unashindwa kumuuliza Mkeo kwa mini amekusave Mb2a? Basis kweli wewe ndio Mbwà!
Huwezi kumpangia mke aku save jina lipi kama ambavyo were hakupangii

Hata aki kusave pakashume wewe shida yako nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…