Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Mkuu usitumie nguvu kumfikishia ujumbe kama unamuheshim wee fanya kitu kimoja tu , kila akikuita baba fulani wee itika "whuu! whuu! whuu! 'na akikuuliza kulikoni mwambie na wewe hujui simple tu yaani.
 
Wala usihangaike naye... Kwenye biblia tunaambiwa utapewa mke wa kufanana naye..
Katika hali ya kawaida, umeona wapi mbwa anaolewa au kuowa binadamu? Kuna vitu si vya kuhangaisha kichwa... Mbwa anagegeda mbwa... au mbwa anagegedwa na mbwa.. Hivyo alivyokusevu wewe MBWA maana yake na yeye ni MBWA tu
 
Mkuu usitumie nguvu kumfikishia ujumbe kama unamuheshim wee fanya kitu kimoja tu , kila akikuita baba fulani wee itika "whuu! whuu! whuu! 'na akikuuliza kulikoni mwambie na wewe hujui simple tu yaani.
Hii Mbwa kala mbwa
 
Muulize.. binafsi Kwa huyu mwanamke nilie nae akinisave mmbwa nitajua amemaanisha I'm loyal enough to be called a Dog..[emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu Mimi nitamsave Penguin [emoji210]..
 
Mkuu una uhakika kua wewe sio mbwa? Hebu jiangalie vizuri.
 
Kuna trend ya wanawake kupenda kufuga mbwa sababu wanajua sana kulamba papuchi, sasa unavyobisha kua wewe sio UMBWA unanitia mashaka mkuu...
 
Ur so lucky my brother mwanamke akikusave mbwa kama jina lako sio Mbwana au Mbwambo basi tafsiri yake Ni kwamba wewe Ni mwanaume Kweli Kweli Kwa Sababu wanawake husema " wanaume wote ni mbwa" so Kwa mwanamke " mbwa" maana yake Ni mwanaume kamili.

Hongera Sana bro
 
Duh, kwa hiyo na watoto nao Mbwa pia ? Kweli hizi laaana ni za vizazi, siajabu nchi nzima mbwa pia, sasa wizi umehalishwa na Raisi wa nchi.
 
Mimi nimejiuliza tu
Hivi mtoto kuchukua simu ya mama yake na
Chumba cha mtoto kuwa na smart TV ya kuonesha Netflix, Dekstop computer nk
Vina uhusiano gani?
 
Yaani ingekua ni mimi ningekinukisha balaa wife wangu ananijua aisee.
 
Mimi nimejiuliza tu
Hivi mtoto kuchukua simu ya mama yake na
Chumba cha mtoto kuwa na smart TV ya kuonesha Netflix, Dekstop computer nk
Vina uhusiano gani?
Ni maisha tu mbona umasikini ni mgumu sana kuutenganisha na chuki za kike sijui kwa nini?
 
Kama unaweza kuseviwa mbwa ukashindwa kumuuliza mkeo hadi unakuja kutuambia sisi kweli wewe ni mbwa shemegi hajakosea!
 
Nini Mbwa, si afadhali anamaanisha ni mkali na sio wa kuchezewa, mi nimeseviwa "Babu jinga"
 
Mbwa - management by walking

Wooooh wooh woooh
[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺
 
Huyu ndiye mwenye legal rights kama next of kin, ukipata ajali anaweza kuwaambia madaktari wasiendelee ná matibabu na uamuzi wake ukaheshimiwa.

Ukifa yeye ndiye mrithi wa hata ile dog kennel uliyojijengea.
Pumbavu kabisa, wanawake siku hzi hujiweka kwenye nafasi ya Mungu, wanahisi wa kuumwa kwanza ni mwanaume, wakufa kwanza ni mwanaume,

Mungu awalinde wanaume wote duniani waishi miaka mia mbili
 
Pumbavu kabisa, wanawake siku hzi hujiweka kwenye nafasi ya Mungu, wanahisi wa kuumwa kwanza ni mwanaume, wakufa kwanza ni mwanaume,

Mungu awalinde wanaume wote duniani waishi miaka mia mbili
Pole kwa kupigwa na kitu kizito kichwani
 
Utakuwa upo tabora chem chem wewe au unaka rufita Kama cyo rufita utakuwa unakaa ipole Kama cyo pangale kaza roho au kanyenye punguza gubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…