Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Natoka kwenye uzi wa MBWA naenda kusoma nyuzi za binadamu wenzangu
 
Mbwa vipi mama mbwa hajambo, mmeshapata kengine la popp [emoji23][emoji23][emoji23]{ hapa nikipewa mabango sijui nitasemaje} haa haa haa
 
Sasa kama hivyo ndivyo anavyo kuona ulitaka afanyaje? 😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbwa daa hata kama mnamaugomvi lakini mnafikia kuitana jibwa uwiii jibwa koko?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeitwa mbwa sio jibwa
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Ha ha ha Mbwa umeacha kubweka na kufanya mambo ya kimbwa mbwa bablai?
 
Kwa uandishi huu muulize mkeo tuu...
ila mungu atusaidie tuu hawa wanawake tunaoa
 
USHAURI WANGU ! ANZA KUBWEKA KAMA MBWA.....wood! Woow! Wuwuwuuuuuuu! Biniua na mdomo juu kuelekea alipo mke wako!

Fanya hivyo mfululizo hadi mkeo ahisi umechanganyikiwa!

Hakika kitakachofuata utarudi kunishukuru!
Pole sana Mr. dog

Ila kwa mbali unatabia za mbwa unatueleza HAbari za NETFLIX, Na smart TV za nini kwenye habari za mbwa!
Una matatizo siyo bure
😂😂😂😂😭😭😭!
 
Ha ha ha ha haaaa. Wa Kukaya Tabora.

1644355191213.png

Mbwa analamba lakini 🙂
 
Daa kmmke walahi kwa hiyo na wewe unakazia kabisa
Ila hata mimi sijapenda muulize kwanini kakusave hivyo! Tuna cheka tu lakini hapana, Huwezi mfanyia hivyo mtu wako wakaribu hata kama mmegombana.
 
Back
Top Bottom