Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mke katisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mke katisha
Pole lakini mbwaNimeitwa mbwa sio jibwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe sio Mbwa?
Umejuaje?
Hebu bweka tujiridhishe
Ha ha ha Mbwa umeacha kubweka na kufanya mambo ya kimbwa mbwa bablai?Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani wewe sio Mbwa?
Umejuaje?
Hebu bweka tujiridhishe
Hata kama ni mbaya kama Sabaya bado haitoshi kupata uhalali huoChunguza matendo yako
Kwa uandishi huu muulize mkeo tuu...Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Yaani mimi ningemtesa kisaikolojia..na sio kumgusaAmina ndugu yangu Huyu ndo size yangu
😂😂😂😂😭😭😭!USHAURI WANGU ! ANZA KUBWEKA KAMA MBWA.....wood! Woow! Wuwuwuuuuuuu! Biniua na mdomo juu kuelekea alipo mke wako!
Fanya hivyo mfululizo hadi mkeo ahisi umechanganyikiwa!
Hakika kitakachofuata utarudi kunishukuru!
Pole sana Mr. dog
Ila kwa mbali unatabia za mbwa unatueleza HAbari za NETFLIX, Na smart TV za nini kwenye habari za mbwa!
Una matatizo siyo bure
Ila hata mimi sijapenda muulize kwanini kakusave hivyo! Tuna cheka tu lakini hapana, Huwezi mfanyia hivyo mtu wako wakaribu hata kama mmegombana.Daa kmmke walahi kwa hiyo na wewe unakazia kabisa