Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize je una tabia za mbwa?Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daahAu labda una utaalamu sana wa kulamba mbunye.... Unailambaga dearly km mbwa anavyolambaga vitu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nini Mbwa, si afadhali anamaanisha ni mkali na sio wa kuchezewa, mi nimeseviwa "Babu jinga"
Haa ha ha; hi nchi itabidi nifanye utafiti, wanaokufa kwa stress au hata kujiua huenda hawana smart phones, kwa majibu ya namna hi unaipata wapi stress?
Mzee mwenzetu nae kaleta mashtaka juu yako, kwamba umesevu kama honey, sasa ndio anajiuliza, kwani baba yake ni NYUKI!? Tujibie hi kwanza, usiende kwa mwanamke mwenzio wakati na wewe una kashfa ya kumtukana baba mkwe wako. JokeHuyu ndiye mwenye legal rights kama next of kin, ukipata ajali anaweza kuwaambia madaktari wasiendelee ná matibabu na uamuzi wake ukaheshimiwa.
Ukifa yeye ndiye mrithi wa hata ile dog kennel uliyojijengea.
😂😂😂😂Mzee mwenzetu nae kaleta mashtaka juu yako, kwamba umesevu kama honey, sasa ndio anajiuliza, kwani baba yake ni NYUKI!? Tujibie hi kwanza, usiende kwa mwanamke mwenzio wakati na wewe una kashfa ya kumtukana baba mkwe wako. Joke
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nashindwa kujizuia🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😭😭😭😭!usicheke sio mazuri
pole sana [emoji240]Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
We msevu fisiTulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.