Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Jiulize je una tabia za mbwa?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Au labda una utaalamu sana wa kulamba mbunye.... Unailambaga dearly km mbwa anavyolambaga vitu
 
Jamaa... Unauhakika kweli kwenu ni Tabora?? Maana zaidi ya hiyo "Mbwa" nilichokiona wewe ni Mr. Misifa kama wale ndugu zetu
 
Huwezi kujua. Labda mke yuko sahihi

Mbona mimi Sky Eclat kanisave honey sijawahi kulalamika JF kama baba yangu ni nyuki?

Mashahidi zangu Kasie na my dear mjukuu Joanah
Haa ha ha; hi nchi itabidi nifanye utafiti, wanaokufa kwa stress au hata kujiua huenda hawana smart phones, kwa majibu ya namna hi unaipata wapi stress?
 
Huyu ndiye mwenye legal rights kama next of kin, ukipata ajali anaweza kuwaambia madaktari wasiendelee ná matibabu na uamuzi wake ukaheshimiwa.

Ukifa yeye ndiye mrithi wa hata ile dog kennel uliyojijengea.
Mzee mwenzetu nae kaleta mashtaka juu yako, kwamba umesevu kama honey, sasa ndio anajiuliza, kwani baba yake ni NYUKI!? Tujibie hi kwanza, usiende kwa mwanamke mwenzio wakati na wewe una kashfa ya kumtukana baba mkwe wako. Joke
 
usicheke sio mazuri
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nashindwa kujizuia🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😭😭😭😭!
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
pole sana [emoji240]
 
Smart Tv yenye account ya Netflix Laptop na Desktop unamwandaa kuwa film theater and makeup japokuwa anapenda muvi za animations

Sasa kwanini unaumia ukiitwa mbwa
 
Mungu amekuonyesha kabisa wazi kuwa ulikosea kuona!!yaani anakuepusha na Mengi yajayo!!mwache aende kwa kuanza kutafuta Mbwa mwenzako!!
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
We msevu fisi

Back
Top Bottom