Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Dokezo
10.01.2025
Kutoka: Mume
Kwenda: Mke
CC: Wasimamizi ndoa
YAH: TUHUMA DHIDI YAKO
Tafadhali husika na somo hapo juu
Barua hii inahusu tuhuma dhidi yako kwa kufanya matendo yasiyokubalika kwa wanandoa kama ifuatavyo:
1) Kutojibu meseji za mumeo kwa wakati au kuzijibu kifupi kwa ufupi bila ufafanuzi wa somo husika
2) kutoa majibu ya mkato, ukali, jeuri,na ubabe
3) Kushindwa kupiga magoti unapomsalimia mumeo
4) kushindwa kuamka usiku mumeo anaporudi ili kumpikia ugali wa mtama na udaga
5) kuongea au kulalamika kwa muda mrefu sana bila sababu za msingi
6) kukataa kwenda Kijijini kuwasaidia wakwezako kazi za kilimo
Tuhuma zote hizo ni kinyume na sheria, Kanuni, taratibu, desturi na miongozo ya ndoa na yakithibitika yanaweza pelekea kuvunjwa kwa ndoa husika
Unatakiwa kutoa maelezo ndani ya siku Saba kwanini usichukuliwe hatia za kinidhamu
Wako
Mumeo