Mke wangu kanisumbua sana, leo nimemuandikia barua ya kujieleza kwanini nisimchukulie hatua za kinidhamu kwa kukosa maadili na kukiuka Kanuni za ndoa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Dokezo
10.01.2025
Kutoka: Mume
Kwenda: Mke
CC: Wasimamizi ndoa

YAH: TUHUMA DHIDI YAKO

Tafadhali husika na somo hapo juu

Barua hii inahusu tuhuma dhidi yako kwa kufanya matendo yasiyokubalika kwa wanandoa kama ifuatavyo:

1) Kutojibu meseji za mumeo kwa wakati au kuzijibu kifupi kwa ufupi bila ufafanuzi wa somo husika

2) kutoa majibu ya mkato, ukali, jeuri,na ubabe

3) Kushindwa kupiga magoti unapomsalimia mumeo

4) kushindwa kuamka usiku mumeo anaporudi ili kumpikia ugali wa mtama na udaga

5) kuongea au kulalamika kwa muda mrefu sana bila sababu za msingi

6) kukataa kwenda Kijijini kuwasaidia wakwezako kazi za kilimo

Tuhuma zote hizo ni kinyume na sheria, Kanuni, taratibu, desturi na miongozo ya ndoa na yakithibitika yanaweza pelekea kuvunjwa kwa ndoa husika

Unatakiwa kutoa maelezo ndani ya siku Saba kwanini usichukuliwe hatia za kinidhamu

Wako
Mumeo
 
Hivi ndoa ni utumwa dhidi ya mwanamke!
Wakati ufike maana ya ndoa isiwepo
 
Umemtoa kanda gani huyo? Nadhani atakuwa Mluguru
 
Si tulikubaliana 2025 wanaume hakuna kulialia na kutia huruma mitandaoni, tena kwa kesi za ke, viumbe tulivyoletewa tuviongoze?
 
umejitahidi kutunga hadIthi! Ila imekosa uhalisia hivyo kupelekea kukosa msisimko!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Dokezo
10.01.2025
Kutoka: Mume
Kwenda: Mke
CC: Wasimamizi ndoa

YAH: TUHUMA DHIDI YAKO

Tafadhali husika na somo hapo juu

Barua hii inahusu tuhuma dhidi yako kwa kufanya matendo yasiyokubalika kwa wanandoa kama ifuatavyo:

1) Kutojibu meseji za mumeo kwa wakati au kuzijibu kifupi kwa ufupi bila ufafanuzi wa somo husika

2) kutoa majibu ya mkato, ukali, jeuri,na ubabe

3) Kushindwa kupiga magoti unapomsalimia mumeo

4) kushindwa kuamka usiku mumeo anaporudi ili kumpikia ugali wa mtama na udaga

5) kuongea au kulalamika kwa muda mrefu sana bila sababu za msingi

6) kukataa kwenda Kijijini kuwasaidia wakwezako kazi za kilimo

Tuhuma zote hizo ni kinyume na sheria, Kanuni, taratibu, desturi na miongozo ya ndoa na yakithibitika yanaweza pelekea kuvunjwa kwa ndoa husika

Unatakiwa kutoa maelezo ndani ya siku Saba kwanini usichukuliwe hatia za kinidhamu

Wako
Mumeo
Dah! Aiseee kama angelikuwa n bnt yangu ndyo unataka ufanye msukule kumaanisha wee n mwenda wazmu akuchape makofi ya macho uone vzr
 
Wewe ningekutandika na huo mkaratasi wako ungewashia moto unichemshie maji ya kuoga… Huyo mkeo anakuendekeza 😼
 
1000018955.jpg
 
Enzi hizo andika barua ya simu kila neno linalozidi unalipia extra haha...
MKE KAZIDISHA MAKOSA HANIPI PAPUCHI FIKA HARAKA WAKO MJOMBA TANGA
#YangabingwaCAFnaNPL
 
Back
Top Bottom