Mke wangu karudi akiwa amevaa chupi ya kiume!

Kumegewa mke na masela Inauma acheni utani. kama kufungwa kabao kamoja tu babu wa watu amerusha ngumi, ingekuwa kamegewa mke si ndiyo angeua mtu kabisa. Pole sana mkulu.
 
kama ni story ya kweli,basi kaazi kwelikweli,yaani kwanza alipoulizwa kavaa chupi ya kiume mkewe kashtuka,sasa kama alijijua kaivaa asingejiangalia na kushtuka!angejieleza tu.pili,chupi hujawahi kuiona nyumbani kwako,hii sio point sana ya kuichukulia kwa maanani,ina maana chupi zoooote za mkeo unazijua?unless kama anazo chache,tatu,chupi kuukuu na ina tobo,ingekuwa mpya ningesema kainunua kavaa maana wanawake wengi tu wanapenda chupi za kiumeila kwa kuwa wanazivaa mara chachechache sana,ni vigumu iwe imechakaa hsdi tobo!ila ilyochakaa ,na imeandikwa TMK!hakuna chupi ya mtumba iliyoandikwa tmk,anyway,fanya utafiti wa kina-lolote lawezekana kaka!na huu mgao wa umeme yawezekana kagafirika kavaa ya mwizi wako
 
Hapa kuna ushauri gani tena, fukuza fukuza fukuza aende akavae na bukta ya huyo mwenye chupi. Inaonekana alipewa doz kubwa mpaka alichanganyikiwa akavaa chupi ya hilo Dume. Pambafu fukuza haraka
 
Sikia fundi, nyege haisubiriwi kamwe. Mafundi wajenzi muda wote wako site na mkianza kazi toka asubuhi mpaka usiki wa saa mbili, tatu ama zaidi. Ukirudi nyumbani unataka maji ya moto uoge kisha ule na kulala mkeo kama anataka mpini unampa raundi moja kusingizia umechoka. Mwanamke utawaliwa na hisia, sasa anapokuwa hajatosheka lazima atafute fundi mwingine wa useremala au injini ili amtengeneze yeye. Pole lakini, nyege ina raha na karaha. Na karaha yake ndo hiyo!
 


Sikia fundi, nyege haisubiriwi kamwe. Mafundi wajenzi muda wote wako site na mkianza kazi toka asubuhi mpaka usiki wa saa mbili, tatu ama zaidi. Ukirudi nyumbani unataka maji ya moto uoge kisha ule na kulala mkeo kama anataka mpini unampa raundi moja kusingizia umechoka. Mwanamke utawaliwa na hisia, sasa anapokuwa hajatosheka lazima atafute fundi mwingine wa useremala au injini ili amtengeneze yeye. Pole lakini, nyege ina raha na karaha. Na karaha yake ndo hiyo!
 
 
Eh! Duniani kuna mambo, GAZETI umenichekesha mpaka nimesahau kipigo cha jana
kutoka kwa MAN CITY
 
Duh Gazeti huu mkasa mhusika mkuu anaweza kuwa wewe mwenyewe usimsingizie fundi wa watu bure.Sasa ngoja nikupe maushari kwanza mkeo unamtimizia haki yake kama unasuasua tafadhali timiza wajibu wako.Mwisho kama mkeo ni kicheche hawezi kuacha ukicheche.
 
maskini huyo mwenye mkasa wake!
kanunua chupi chakavu?
ya kiume wakati e mwanamke?
mh.....??
 
Ushauri gani unahitaji hapo ? Basi labda alinunua chupi ya mtumba; kubali matokeo na umsamehe yaishe.
 
Mkeo atakuwa aliitafunwa majanini kusikokuwa na taa akakosea kuvaa chupi ya mbaya wako
 
Limekwishaliwa tayari heheeeee..kwaya huko..its only a diversion..
 
na hilo tobo nalo limetokana na nini TMK WANAUME FAMILY wametishaa.
 
 
Lol katoka kwaya anaenda kwenye uasherati mungu na amlaani.
 
Gazeti, huu mkasa utakuwa wa kweli kabisa. maana umenikumbusha rafiki yangu mmoja alirudi amevaa chupi ya mdada; wakati ametinga master bedroom kamkuta mkewe kajilaza kitandani; jamaa kaanza kuchojoa nguo moja baada ya nyingine ili akaoge; hamadiiiiii mke kaona amevaa chupi ya kike na tena siyo mpya. Jamaa hakuna jingine zaidi ya kuomba msaada na kujiliza. Mke alimsamehe!!
 
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.

Shost ndio iwe na-katundu? namaana alipokuwa anaenda kwenye kwaya alienda Uchi ndani (Natural AC)? so akaamua kupitia kwenye mtumba au...?
 
Huyo Fundi namfahamu Leo nimekutana nae kaniambia kuwa Jana mke wake pia karejea na Chupi Nyingine Imeandikwa Diamond plutnumxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…