KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
The boss where r u brother..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."
Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.[/QUOTE
Sawa naweza kukukubalia hili, lakini mwanamke huyu ana pumbu ama ukurutu wa namna gani mpaka anatoboa na chupi za kiume? Mwanamke nijuavyo mimi yupo very sophisicated, sasa hiyo chupi kaitoboaje jamani?
maskini huyo mwenye mkasa wake!"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."
Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.
labda aliamua kutoboa makusudi apate ventileshen ya kupatia hewajamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.[/QUOTE Sawa naweza kukukubalia hili, lakini mwanamke huyu ana pumbu ama ukurutu wa namna gani mpaka anatoboa na chupi za kiume? Mwanamke nijuavyo mimi yupo very sophisicated, sasa hiyo chupi kaitoboaje jamani?
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.
I like that "NATURAL AC". Ha ha haa!Shost ndio iwe na-katundu? namaana alipokuwa anaenda kwenye kwaya alienda Uchi ndani (Natural AC)? so akaamua kupitia kwenye mtumba au...?