Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

uko na ka ukweli fulani,lakini ndo nisijue chochote kinachoendelea mkuu?
 
Ni kweli unafeli na huyo mwanamke ashakuona ww ni Fala

Adi kufikia hatua ya kukutamkia hivo ni kweli unafeli, pia kuna wadau wanakuelekeza misingi ya kiume ww unakaza fuvu na kuwaona kama Wana hasira au wakatili Sana,

Tena bila Shaka ww ni wale wanaume mnaojidai wema Sana na wapole kwa wake zenu asa mtapelekeshwa Sana na kugongewa huyo make wako

UKIWA MWEMA NA MPOLE MBELE YA MWANAMKE WAKO LAZIMA UTESEKE SANA

Pia nyuzi nyingi humu zinaeleza mambo yote ila mnajidai kukaza fuvu na kuja kulalamika au ingia hata Google au YouTube huko utapata maelezo ya kutosha ni namna gani mwanaume anatakiwa awe haijalishi mna watoto au hamna ila misingi ndo Ile Ile

Pole Sana japo hizo shida chanzo kikubwa ni wewe mwenyewe
 
Mkuu kunywa soda popote ulipo nitailipa.
 
Mpige makofi akueleze unafeli wapi! Vijana wa awamu hii mnapitishwa kwenye tanuru!
 
Sasa mkuu mke wako unashindwa kumtaiti aeleze anakopeleka Hela! Halafu ndoa sio ya kuacha inajiendea tu automatic, inatakiwa ukae kwenye uskani change gear uendeshe ndoa, Total control uwenayo wewe sio unakaa kifala tu Hela zinatumika hujui na unauliza hujibiwi.
 
A
Siku ukifa wanao watateseka sana.
Mkeo hatajua pa kuanzia na mwishowe anaweza kuishia kujiuza.

Jifunze kuwa baba na mume bora.

Hii misimamo yako ni ya kikoloni sana.

Mwanamke ni bora akipata mwalimu na mume bora
Asanteee🙏🙏
 
Yaan mim mke wangu au mtu ninaemlisha nyumban akinijibu hivyo, kwanza ni kichapo heavy... ushauri atapewa na wazaz wake
 
Kichwa kipi ??mkuu kuwa specific
 
Anamegwa huyoo..
Pole.
Humkuni ipasavyo..
Pole sana.

Man Down.. my condolences..
😞😞😞
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…