Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

Kanisa litashukuru sana kwa kuwajengea fremu, ambazo kiuhalisia wewe na familia yako mmeingia hasara.
Pole sana.
 
Aseee! Kazi kweli
 
Sasa mkuu si ulipaswa uambiwe ulipofeli ni wapi na mkeo, sisi tutajua vipi? Kwa kweli umefeli mzee
 
Pole sana, kimsingi umejengea kanisa na wewe umepoteza. Mkeo bora angeendelea kukaa nyumbani na ungetakiwa utafute mtu wa kusimamia na wewe uwe msimamizi mkuu. Biashara si lelemama na si kila mtu anaiweza. Najua utakuwa umejifunza kupitia hili.
Na sisi wanawake tuache kuwa mizigo kwa wenza wetu.
 
Umeyatimba , huyo mbane vizuri atazitaja code otherwise utaendelea kulea ugonjwa. Viumbe hatari sana hawa
 
Duh!..ndoa zina mengi sana
 
Mkuu kunywa soda popote ulipo nitailipa.
Naam kaka kuna mda namind mpaka nataman kuwa influencer ili diss zangu ziwe na sauti

Jina langu na... TATE, KIBE ... tunafanana hata mitazamo yetu juu ya hivi viumbe.

Anyway pepsi 😋 niliokunywa imeshusha hasira.
 
Manzi anakuchana 'UNAFELI" halafu Bado hujamrudisha Kwao ww ni bumunda?Mimi Kwa jibu Hilo sitaki kujua nafeli kitandani au wapi natimua
 
WE muulize kama mi nafeli wewe unafaulu wapi!?
 
Anahonga Kwa mwanaume mwingine kwa kuwa anakunwa kimwamba huko
 
Umejisahau kuwa wewe ni nani kwenye familia na mamlaka yapo mi yapi ndomana mkeo amekudharau muda si mrefu atakutia singi la kichwa kama usipojitambua wewe ni nani
 
anapika bila shida,na hela za chakula naacha mimi zote,ada za watoto shule,nauli akitaka kwenda hata kkoo au kanisani nampa mimi.
Kama anapika pesa ya kula unaitaka ukale mwenyewe,kula wanachokula familia yako. Mkeo ana elimu dunia ya kiwango kipi? Je anatunza kumbukumbu za biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…