Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba kweli kafeli parefu mnoo.Kanisa litashukuru sana kwa kuwajengea fremu, ambazo kiuhalisia wewe na familia yako mmeingia hasara.
Pole sana.
Aseee! Kazi kweliWakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Sasa mkuu si ulipaswa uambiwe ulipofeli ni wapi na mkeo, sisi tutajua vipi? Kwa kweli umefeli mzeeWakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Pole sana, kimsingi umejengea kanisa na wewe umepoteza. Mkeo bora angeendelea kukaa nyumbani na ungetakiwa utafute mtu wa kusimamia na wewe uwe msimamizi mkuu. Biashara si lelemama na si kila mtu anaiweza. Najua utakuwa umejifunza kupitia hili.Wakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Duh!..ndoa zina mengi sanaWakuu,

Mie nipo poaa kakaHabari my boss
Mungu akutunze ndg yanguMie nipo poaa kaka
Naam kaka kuna mda namind mpaka nataman kuwa influencer ili diss zangu ziwe na sautiMkuu kunywa soda popote ulipo nitailipa.
Amina🙏🙏Kaka yanguMungu akutunze ndg yangu
Wakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Alokwambia ukoloni ni akili ni nani??sio kweli mkuu,mi mkoloni sana.
Kama anapika pesa ya kula unaitaka ukale mwenyewe,kula wanachokula familia yako. Mkeo ana elimu dunia ya kiwango kipi? Je anatunza kumbukumbu za biashara?anapika bila shida,na hela za chakula naacha mimi zote,ada za watoto shule,nauli akitaka kwenda hata kkoo au kanisani nampa mimi.