Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Ninatamani sana wanaume wengi wangekuwa kama wewe. Sio kila mwanamke anayewasiliana na baba mtoto wake wana mahusiano na kinachochangia mahusiano ni kuonana kwa kujificha baada ya kukatazwa na mume.

Kuwakataza kuwasiliana sio solution watatafuta namna behind you na ndio mahusiano huanza. Kama mume umeruhusu baba aje kumwona mwanae tena na wewe ukijua hapo hawawezi kufanya ujinga kama waliachana na kumove on.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakuna namna ataacha kuwa babazazi wa mtoto. Na pia ni kumkatili mtoto haki yake. Nimempa mtoto haki ya kuchagua kwenda kwa baba yake muda wowote anaotaka. Mimi nimemuoa mama yake na siyo mtoto.
 
Awe single mom,awe mdada aliyekua na mahusiano na wadau mbalimbali eti wakaachana,my brother,siku hizi mapenzi hayavunjiki,teknolojia imerahisisha sana,watu either kupasha viporo au kurudiana kabisa.Pole kwa ticha.
 
Ushauri wangu ni uachane na mke wako
 
MREJESHO.....
Jana nmefika home mida ya saa 3 usiku, sjamkuta binti nyumbani Wala mtoto wake,
Nmemuuliza shemej yangu anasema binti kapelekwa kwa dada yake, kaondoka na mizigo yake yote.

Cha kushangaza
Leo alfajir nmeamka nakagua kagua mifugo yangu nikamuona mtoto wake na yule binti akitokea nyumba ndogo ya nje kwny chumba alikukokua anakaa kijana wangu mmoja wa dukan (sahv hayupo) akiwa na beseni dogo la maji machafu kaja kumwaga kwny shimo la taka.

Moja kwa moja Kuna picha nkaipata,
Either shemej yangu Ni wale wale maana kanidanganya kaondoka ili kunipoza kumbe wamemlaza nyumba ya nje.
ANYWAY, BADO NATAFAKARI CHA KUMFANYA HUYU NAE SHEMEJ YANGU[emoji848]

Pia, mda mfupi ulopita nmefanikiwa kwenda kuongea na Ticha, kanielewa na kasema Hana ugomvi wowote na Mimi Maana yote yanatokea sikufahamu Mana sishindi nyumbani lawama Ni kwa wake zetu.

Nmemsihi Suala la kurudiana na MKE wake, kasema Hilo Halinihusu na hataki nimuingilie wala nimshaur lolote, Hiyo Ni ndoa yake kwaiyo nimuachie yeye.
Nmeshindwa kuongeza neno.

Plan yangu kwa Sasa bado Ni ile Ile kumrudisha wife kwanza kwao akafundwe vzur, naona Kama vile ameizoea Sana ndoa.
Kia's kwamba tunavunjiana Sana heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…