Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Japo ni ya muda mrefu ila umeoa mwanamke asiyekua na akili ,heshima,utii wala utu na pengine hata wewe unachapiwa sana tu kwa akili zake hizo.
 
Mke wako jembe sana. Umewekeza mno kwa michepuko ukasahau kujenga nidhamu ndani ya ndoa yako. Mwanakulitaka mwanakulipata, mwanakulitafuta mwanakulipewa. Mwanakulitikita mwanakulitokota. Hamia kwa mama J
🤣 🤣 🤣
 
Kwanamna alvyokujbu ulpomwambia ahakikishe mama D anarud kwa tcha kwam ba"anarudje kwa mwanaume mkorof,amempga na kumrushia beg nje" wife wako inawezekana:
1.Alpew dili na mchaga la kuhakiksha anampata mama D
2.Bado anataka awe karbu na mama D ili anaendelea kumshawish amkubali mchaga.
3.Ni money oriented kias anamdharau kipato cha tcha kias anamshawish mama D afkuzie noti za mchaga.
Hivyo hata wew angalia sidhan kama uko salam saana coz haon kama wew ni kichwa kwake.Pia mkeo atakuw na mambo mengi ambayo jamii inayajua na haikuambii coz wanaona umeshkwa na mkeo,ndo maana hata tcha hakukuambia kama mchaga hua anakuj kwako.
USHAURI WANGU
Mfukuze ila bakisha nafas ikiw atajrud,hii itakupa picha halis ya mkeo,na pia jamii itakuelewa zaid
 
Back
Top Bottom