MREJESHO.....
Jana nmefika home mida ya saa 3 usiku, sjamkuta binti nyumbani Wala mtoto wake,
Nmemuuliza shemej yangu anasema binti kapelekwa kwa dada yake, kaondoka na mizigo yake yote.
Cha kushangaza
Leo alfajir nmeamka nakagua kagua mifugo yangu nikamuona mtoto wake na yule binti akitokea nyumba ndogo ya nje kwny chumba alikukokua anakaa kijana wangu mmoja wa dukan (sahv hayupo) akiwa na beseni dogo la maji machafu kaja kumwaga kwny shimo la taka.
Moja kwa moja Kuna picha nkaipata,
Either shemej yangu Ni wale wale maana kanidanganya kaondoka ili kunipoza kumbe wamemlaza nyumba ya nje.
ANYWAY, BADO NATAFAKARI CHA KUMFANYA HUYU NAE SHEMEJ YANGU[emoji848]
Pia, mda mfupi ulopita nmefanikiwa kwenda kuongea na Ticha, kanielewa na kasema Hana ugomvi wowote na Mimi Maana yote yanatokea sikufahamu Mana sishindi nyumbani lawama Ni kwa wake zetu.
Nmemsihi Suala la kurudiana na MKE wake, kasema Hilo Halinihusu na hataki nimuingilie wala nimshaur lolote, Hiyo Ni ndoa yake kwaiyo nimuachie yeye.
Nmeshindwa kuongeza neno.
Plan yangu kwa Sasa bado Ni ile Ile kumrudisha wife kwanza kwao akafundwe vzur, naona Kama vile ameizoea Sana ndoa.
Kia's kwamba tunavunjiana Sana heshima