Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Kwa mambo kama haya sasa naelewa kwa nn wanaume wanaogopa singo mama. Mwanamke akiwa hajielewi kama huyo ni hatari anawaponza na wengine wasio na upuuzi kama wake. Miaka ambayo jamaa yake alimtelekeza angetulia na huyo mumewe alieamua kumuheshimisha na kumfanya mkewe ajabu analeta ujinga. Hata ningekua mimi ni huyo ticha ningemfukuzia mbali.
Ticha kawa mbogo,
Kamtimua bila huruma
 
Pole sana DeepPond .Jambo unalopitia unahitaji muda kidogo ili uweze kuokoa ndoa yako na ya Ticha.Usiende pupa utaharibu.
Mkeo na Shoga ake wote wanamakosa,wewe pia una makosa yako kwenye sakata hilo.
Anza na wewe,uje ya mkeo then umalizie na ya Tisha.
Ukikurupuka unaharibu kila kitu,na wewe utaharibikiwa.
Ni hayo tu kwa sasa[emoji119]
Makosa yangu Ni yapi tafadhali nifahamishe mkuu
 
Hii habari ni very complicated sensitive. Just buy your time ignore the stupid . Tambua Nuhu alipata tabu kama hii na mke wake. Hata mzee wa Dodoma na Gomora Ali fanya Ku ignore mke wake akigeuka nguzo ya chumvi. Women are stupidy by nature. Go and ask Adam wa Eden
 
Nadhan kuignore haiyokua Jambo jema,
anaweza kuona ndo utaratibu yakafata makubwa zaidi
 
Hongera kwa kuamua kama digidigi...24 hrs surveillance kwenye simu ya wife si mchezo....umechagua kufa mapema
 
Ushaanza ukorofi wako trudie
Michepuko yangu inaingiaje Hapa aisee[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu kama ratiba yako ni kutoka kazini then kwa mwanachuo halafu kwa mama J kumalizia bao, ukitoka hapo kwa fundi cherehani nyumbani unaingia saa 7 usiku unadhani utajulia wapi kama kuna mchaga anakuja kwako kukutana na baby mama wake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo zenu "paka akitoka panya ujitawala"
 
Makosa yangu Ni yapi tafadhali nifahamishe mkuu
Una ndoa ya Ticha ya kuiokoa,na yako kuikarabati.
Anza na ya Ticha kwanza,yako weka pending kwanza.Ukienda na zote mbili utaugua ukichaa.Ya Ticha ikikaa sawa,unairudia yako,kwakuwa yako bado ipo salama,ni spana kidogo itakaa sawa.Baada ya hapo u aendelea kuifuatilia yako kwa ukaribu zaidi na maelekezo mapya ili maisha yasonge.
 
Na huu uzi uwe wa yeye kuingia JF na kuusoma.. nawe kwa matendo unamtenda bado.. akimaliza kabisa.. natakamani nimtumie ujumbe nimwambie.. aishi yake na wala asitoke hapo.. hauna aibu kwa tabia zako unazoandika humu.. acha akitoe aibu na bado.. lia kabisa
 
Nitafsirie tafadhali
Mwanaume handsome anapata papuchi za bure, mwanaume mwenye sura mbaya anailipia papuchi pesa na kuzungushwa sana Kabla ya kupewa, mwanaume handsome anakula na kuenjoy ujana wa mdada (15-25years) mwanaume mwenye sura ngumu Analishwa makombo na anakumbukwa na wadada walio na miaka (28-30 Wasio na ndoa) na single mothers ambao hawajaolewa/walioachika kwasababu mwanaume mwenye sura ngumu ana kijikazi cha kumuingizia hela

alpha ni mwanaume mwenye mvuto kwa wanawake wengi, Beta ni mwanaume asiye na mvuto kwa wanawake wengi, alpha/beta pia ni mindset ya mtu pia kwenye mahusiano na maisha To yeye
 
Na huu uzi uwe wa yeye kuingia JF na kuusoma.. nawe kwa matendo unamtenda bado.. akimaliza kabisa.. natakamani nimtumie ujumbe nimwambie.. aishi yake na wala asitoke hapo.. hauna aibu kwa tabia zako unazoandika humu.. acha akitoe aibu na bado.. lia kabisa
Dah! Mbona unanifokea hivo dada angu[emoji22]
 
Back
Top Bottom