Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Kwa nilivomuona huyu mchaga
Haonekani kama ana element za kutoka south, huenda alikuepo Hapa Hapa jijini anazuga tu
 
Usitamani huo upuuzi mkuu
 
Hupo sahihi kabisa mkuu. ila wanawake wengi ni wajinga mmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Fedheha hii.
Jioni akirudi akute umemfungashia nguo zake kadhaa, muambie aende kwa wazazi wake akapumzike kwa wiki moja na amuache mke wa mchaga hapo nyumbani then akirudi kutoka likizo fupi ndiyo waje waendelee walipoishia.
Nadhani akisikia kauli hii akili yake ndiyo itachanganyia.
 
Utakua imefanya maamuzi ya kiume ,,na itakua tiba kwa tabia Kama hiyo
 
nasema kunywa bia kadha ili ukienda uwe n maamuzi mazuri mfano makofi, mateke, ngumi kidogo.
 
Huyo nke wako na mke wa ticha ni mashoga.
Usikute mkeo naye anaye wa pembeni na wanabebeana mzigo.
 
Kaa na ticha muongee kiume, japo atakua na hasira na nyie ila sidhani kama anaweza kataa kuonana na wewe mwanaume mwenzie.

Kusolve mambo kwa kuongea/kuwapa maagizo wanawake utajuta mkuu. Hao ni mabingwa wa kugeuza maneno na wanaaminiwa sana na jamii.

Wataenda wote kwa ticha na jumba bovu ukaangushiwa wewe.

Ongea kiume na ticha.

Kazi uliyompa mkeo hawezi kuifanya labda kama unataka ticha amzibue makofi mkeo, hasira zikimzidi hataangalia ni nani kwake na urafiki wenu atauweka kando coz mkeo ndo chanzo cha yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…