Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Bado nampenda.matatizo hayajaisha.
Sijapata wa kunikojolesha kama yeye.
So nimetuliza mshono tu.
Mkumbushe kua kwenye ndoa matatizo hayaishi, hakuna mkamilifu.

Ni kumpata mwenye Nafuu huku mkivumiana na kunyooshana taratibu
 
Mkumbushe kua kwenye ndoa matatizo hayaishi, hakuna mkamilifu.

Ni kumpata mwenye Nafuu huku mkivumiana na kunyooshana taratibu
Kwa kweli.
Watu wengije ni way worse than my husband..
Kweli hakuna ndoa isiyokua na changamoto ila zinazidiana saa nyingine
Lakini ni bora shetani uliyemzoea.
Ubaya ni kwamba ukishakaa na mtu muda mrefu unakua kama kuna kitu amekishikilia hivi.unaona kabisa hapa sitaweza kutoboa nje.
Nilifikiri kutoka kwenye ndoa ni simple.lakini siooo
Yaani kuachana sio rahisi kabisaaa
 
Kwa nilivomuona huyu mchaga
Haonekani kama ana element za kutoka south, huenda alikuepo Hapa Hapa jijini anazuga tu
alienda kishumundu kujificha sasa mtoto amekuwa anarudia utamu wake

sasa na weyee MKANYE MKEO manake hata wewe ndoa yako haiko salamaa, huenda anatumia simu ya mama D kufanya mawasiliano na mswaki wakee
 
Rafiki DeepPond pole sana .
Mbona wanawake unawajua vyema ndugu yangu itakuwa haka kakisa kadogo?

Pole sana najua umehamaki sana na pia umechukia ila yote ni ile ya kuwa heshima yako ya mwanaume imeshuka ni kweli shemeji kakudharau ila ndugu ndiyo uingie mgogoro kisa hiko hapana rafiki na wewe hujakamilika , njoo sasa tuongee kiume.

Nakupa pole tena ila sasa iko hivi heshima yako mtaani itategema ndoa ya ticha kuwa hai tena ndiyo heshima yako ila ikivunjika heshima haitakuwepo.

Nakutuma nenda mtafute ticha mueleze A_Z alafu muombe uwezavyo amsamehe mkewe najua ticha bado anampenda sana mkewe ila zile ni hasira.

Akikubali wewe umeshinda yule mdada arudi kwake , sasa na wewe itafute heshima kwa mkeo unaipataje hiyo heshima ?

Ndugu wanawake hawanaga kuwaza mambo seriously , muite ndugu yeyote wa mkeo kaa naye chini eleza kisa na mkasa na pia mueleze ni njia ya ushaidi wake ili umkanye mkeo mbele yake , akiendelea na kuwa kuwadi basi hautamvumilia.

Nakuona unaniuliza mbona kanidharau sana , Kaka ni miaka sasa uko na mkeo hilo ni kosa dogo wewe kuvunja ndoa ndugu yangu .

Natumai kumkanya mkeo mbele ya nduguye atajisikia vibaya na akiwa wa kubadilika atabadilika mara moja hatoweka mazoea na yule mdada tena.

Ukilimaliza la ticha sasa jiweke mbali na familia ya ticha usiikaribie tena iwe wewe au mkeo ili kuleta heshima yako tena .

Ticha anaweza jaribu kurudisha ukaribu kwako ila uepuke ili kuepuka jambo lolote baya lijalo.

Pole sana ndugu , Embu punguza hasira ni jambo dogo ambalo haliwezi vunja ndoa yako .

Jioni njema.
 
Mm nipo tayari kulea hao wanawake wawili mama D na mkeo endapo utamfukuza.

Mwambie mama D aje inbox tuyajenge aachane na Mchaga uchwara huyo anatia mimba na kukimbia majukumu leo mtoto kakua mkubwa anamtaka mtoto.
 
Kwa mambo kama haya sasa naelewa kwa nn wanaume wanaogopa singo mama. Mwanamke akiwa hajielewi kama huyo ni hatari anawaponza na wengine wasio na upuuzi kama wake. Miaka ambayo jamaa yake alimtelekeza angetulia na huyo mumewe alieamua kumuheshimisha na kumfanya mkewe ajabu analeta ujinga. Hata ningekua mimi ni huyo ticha ningemfukuzia mbali.
 
Ushauri mzuri, muhimu aakikishe uyo binti anarudi kwa ticha. DeepPond

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana DeepPond .Jambo unalopitia unahitaji muda kidogo ili uweze kuokoa ndoa yako na ya Ticha.Usiende pupa utaharibu.
Mkeo na Shoga ake wote wanamakosa,wewe pia una makosa yako kwenye sakata hilo.
Anza na wewe,uje ya mkeo then umalizie na ya Tisha.
Ukikurupuka unaharibu kila kitu,na wewe utaharibikiwa.
Ni hayo tu kwa sasa🙌
 
Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Sasa mwanaume kama huyu amabe masaa 21 kati ya 24 anayatumia kwa michepuko unadhani ataweza kuendesha nyumba yake kwa nidhamu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Hiyo ni zaidi ya hatari.

Kwa hapo namsaidia kujibu, ni wameoana.
 
Ushauri wangu kwako.

Muite teacher. Omba radhi mbele ya mkeo. Muonyeshe kwamba hukujua yayiliyokuwa yanaendelea. Muonye wife mbele yake. Kwa kufanya hivyo utakuwa umejitenga na yote yaliyotokea nyuma.

Baada ya hapo sasa deal na wife squarely. New rules ziwekwe. Usikimbilie kumtimua. Utakuwa umetoa adhabu kubwa itakayokufunga incase next time afanye kosa kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…