Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Muite ticha ongea nae mwambie hukuwahi jua kitu chochote kuhusu hilo. Udumishe urafiki na ujirani wenu. Usijaribu kumshauri kuhusu ndoa yake .
Pili mtimue huyo Binti kwako wewe mwenyewe usimuonee huruma ukiona wife wako anamtetea muunganishe.
Kisha nenda zako kwa mama j ukajipunguzie stress
 
Mpigie geha habib aiweke kwenye hekaheka
 
MIMI NAFIKIRI NI UJINGA SANA KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO BECAUSE UNAONEKANA NICE GUY NA SIO BAD BOY ....BAD BOY KAMPA MIMBA KASEPA WEWE UNAKUWA MJINGA UNALEA DAMU SIO YAKO TO BE HONEST SIWEZI FANYA IVYO UNLESS OTHERWISE HUYO MTOTO AWE KWA BABA YAKE LAKINI UKIONA MTOTO YUKO MAMA NA UNAOA SINGLE MAMA JUA KWAMBA NI SHIDA NA MISUKOSUKO MINGI MAJEMEDARI WENZANGU DON'T DATE SINGLE MAMA THEY DATE THE WRONG MAN IN THIER BEST YEARS AND THEY WANT TO END LIFE WITH A MAN WHO HAS ACHIEVED HIS GOAL IN THE LIFE THAT'S IT'S KIND OF STUPID IM SINGING OUT
 
Aah!! Sijapitia comment zote ila naamini umepata ufumbuzi na sababu ni jioni pia maamuzi utakua umefanya tayari, kama umemfukuza au umemsamehe!![emoji28]

Hapa nataka kujua jambo la kuhack simu ya wife mpaka ukajua calls zake na whatsapp yake, tupe Muongozo kidogo na sisi[emoji28]
 
Samahani mkuuu kama nipo nje ya mada ivi biashara ya material ya ujenzi inalipa kweli ?
 
Mbona Umecheka mkuu?

Hivi unadhan sis tunaochepuka hatuna wivu na wake zetu?

Wee acha kabisa,
Kuchapiwa kuskie kwa mwingine.
Inauma mno asikwambie mtu[emoji4]
Unajua nn mkuu[emoji23][emoji23]

Kwa life style yako mi nilijua mkeo hata huna mda nae, yani unajali tu heshima kama mme basi kwakua unatimiza Kila hitaji nyumbani kumbe unamuwaza kiasi hicho[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂 basi sawa,endelea kutafuta hela na yeye atatuliza mshono
Sasa hivi sina hela nyingi ila hela za kubadili iphone sikosi.
Ila nilichokuja kugundua huyu mwanaume anajua mapenzi kuliko wanaume wote duniani.
Na hii siri ninayo mimi tu siku akijua (nahisi anajua) ndo maana ananipiga matukio
 
Dah! Mbona unanifokea hivo dada angu[emoji22]

Jirekebishe.. mabalaa yakuondoke.. ukae kwa Amani na Furaha kwenye ndoa yako.. na huyo mdogo wake awakamatw ni informer wake.. kwanini hajahama hadi leo.. masomo hajamaliza?
 
Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Bwana mchaga asijekuwa alikuwa anajipigia huyo manzi Kwenye nyumba ya pond
 
Jambo la Muhimu ni kuwa hamna namna mchaga anaweza kuacha suala la kumchukua mtoto wake. Ni lazima atchukua tu.
Pili mke wako ninavyoona hana cha kufanya ndio maana akaingia kwenye hatia. Angekuwa na shughuli walau ndogo ya kufanya asingekuwa nyumbani hadi mwenzie kumfanya daraja la mawasiliano.
Tatu, wewe na Ticha wote mna makosa pia. Ticha alishapata taarifa za huyo mtu kufika kwako mara 3 na akamuhoji mke wako bila kukushirikisha na wewe ulipoona mawasiliano ukamuhoji mke wake bila kumshirikisha ticha. Nadhani kutunziana siri kwenye uovu kumegharimu kila mmoja.
Mwisho kabisa ni kuwa inaonesha ticha hana msuli wa pesa kama mchaga na kwa vyovyote kama mchaga anashirikisha mpaka ndugu zake ni wazi atamchukua huyo mwanamke.
Ningekuwa mimi ndio ticha nisingemuambia mke wangu asiwasiliane na mzazi mwenzake bali ningempangia utaratibu wa kuja kumuona mwanae. Na siku akija mimi lazima niwepo around.
Ninaishi na mwanamke aliyezaa na mtu na sasa ni miaka 12 mzazi mwenzie huja kumuona mtoto au mtoto huenda kumuona na sijawahi kukwazika. Insecurity ndio inafanya kupiga mtu marufuku ya kuwasiliana na inabidi atafute plan B.
 
Samahani mkuu, ila katika huu mkasa mpaka hapo wewe ndiye fala zaidi.

Kwa matendo ya mkeo anakumudu sana na anafanya mambo mengi ya hovyo nje na alikiwa anajaribu kumfundisha mke wa ticha sema Ticha ni mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…