iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Hakuna madhara mkuu. Mwache mtoto aendelee kunyonya. LA msingi, jitahidi mama apate lishe boraWakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Ni kweli hakuna madhara mama mjamzito kunyonyesha?Hakuna madhara mkuu. Mwache mtoto aendelee kunyonya. LA msingi, jitahidi mama apate lishe bora
Tena amnyonyeshee hata karibiaa anajifunguaa na Kama maziwa yapoo anyonyesheee hata wotee cha muhimu azingatiee lishe tuWakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Hakuna dear. Ukimwachicha ghafla anyonyae kwa sababu ya ujauzito, yule mtoto ndo hudhoofika.Ni kweli hakuna madhara mama mjamzito kunyonyesha?
Thanks mkuu nimkuelewaTena amnyonyeshee hata karibiaa anajifunguaa na Kama maziwa yapoo anyonyesheee hata wotee cha muhimu azingatiee lishe tu
Daah kumbeHakuna dear. Ukimwachicha ghafla anyonyae kwa sababu ya ujauzito, yule mtoto ndo hudhoofika.
NB: Mimi sio Dr, ila nina marafiki walopitia hiyo hali.
Zamani tulikuwa tunatishwa na misemo kama "kubemenda". Kumbe ni kutojua tu. Rafiki yangu alipata ujauzito wakati mwanae ana miezi 6 tu. Kwa ushauri wa Dr akaendelea kunyonyesha had alipokaribia kujifungua. Na afya zao wote zikawa vizuri tuDaah kumbe
aaaah kweli watu nomaCevix rupture..