Mke wangu mjamzito na bado ananyonyesha

Mke wangu mjamzito na bado ananyonyesha

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
220
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
 
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Hakuna madhara mkuu. Mwache mtoto aendelee kunyonya. LA msingi, jitahidi mama apate lishe bora
 
Wakuu wangu shikamooni nahitaji ushauri wenu bila matusi wala kejeli mke wangu ni mjamzito ila bado ana mtoto mdogo wa mwak na nusu ananyonya yapi madhara kwa afya ya mama na mtot?
Tena amnyonyeshee hata karibiaa anajifunguaa na Kama maziwa yapoo anyonyesheee hata wotee cha muhimu azingatiee lishe tu
 
Ni kweli hakuna madhara mama mjamzito kunyonyesha?
Hakuna dear. Ukimwachicha ghafla anyonyae kwa sababu ya ujauzito, yule mtoto ndo hudhoofika.

NB: Mimi sio Dr, ila nina marafiki walopitia hiyo hali.
 
Daah kumbe
Zamani tulikuwa tunatishwa na misemo kama "kubemenda". Kumbe ni kutojua tu. Rafiki yangu alipata ujauzito wakati mwanae ana miezi 6 tu. Kwa ushauri wa Dr akaendelea kunyonyesha had alipokaribia kujifungua. Na afya zao wote zikawa vizuri tu
 
Back
Top Bottom