Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi

Na wewe uleft ilo eneo sio salama kwako!! Achana na mambo ya ndoa atakusumbua huyo kenge
 
Jacklyn na Theodore walikuwa ni wapenzi wa muda mrefu,

Baada ya kumaliza masomo Yao walifunga ndoa na kumzaa mtoto aitwaye Jeffrey

Kutokana na ugumu wa maisha hasa baada ya Jeffren Kuzaliwa, miezi 18 baadaye Theodore alikimbia familia na kumuacha Jacklyn akiwa katika Hali ngumu kimaisha

Mungu hamtupi mja wake, Japo Jacklyn alikuwa tayari ana mtoto, Mzee baba Miguel Besos (Mike Bezoz) alimpenda Jacklyn na kuamua kumuoa kisheria

Baada ya Kumuoa tu, Jambo la msingi ambalo alilifanya ni kumuasili yule mtoto Jeffren kutoka kuwa Jeffren T. Jorgensen na kuwa Jeffren M. Bezoz

Huyu ndio Jeffren Bezoz maarufu kama Jeff Bezoz

Tajiri namba 2 duniani ambaye alilelewa na baba wa Kambo, na baba wa kambo alimpatia mahitaji yote muhimu kama mwanae wa kumzaa

Kwa kifupi tu ni kwamba Mzee Sasahivi anakula pensen ya mwanae tu

Naami mleta mda nada utakuwa umepata kitu

Kwa upande wangu hujakosea, umefanya maamuzi sahihi,

Hongera Sana.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Ma single mother yanajifanyaga yapo deep in love. Jichanganye kwa Ku data na blow job uangukie pua. Kuna jamaa yangu kakimbia nyumba yake kisa kitoto cha single mother
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Huyo baba mtoto inaonekana bado anaendelea kula mzigo kama kawa[emoji23] umestuka mapema
Hapana
Mtoa mada ameshaleta mrejesho hapa,tafuta juu huko!
Kasema alimpiga chini lkn alikuwa tayari ana mimba yake, Kwa ss analea tu hiyo mimba yake [emoji28]
 
kweli kabisa usemayo
 
Zaa wakwako umpe uo ubini wako simple tu
 
Ha ha ha
 
Zaa wakwako bana
 
We ulitaka wasichart kwa sababu zipi labda,,? Kwasababu yako? We ulijaza nini tumboni mwake cha kumpa jeuri ya kujiita mwanamke au mama,kaa kwa kutulia hivyo hivyo...familia ni baba,mama,watoto so we ni mvamizi
 
Wewe hata ungelea mimba na utumbo wake,huwezi kua baba mzazi wa huyo chali....ondoa hilo tatizo kwenye himaya yako mkuu
 
Hapana
Mtoa mada ameshaleta mrejesho hapa,tafuta juu huko!
Kasema alimpiga chini lkn alikuwa tayari ana mimba yake, Kwa ss analea tu hiyo mimba yake [emoji28]
Sasa wake nae apewe ubini wa huko atakakoolewa mama yake , aone kama ni rahisi!
 
Mtoa maada sijaelewa kabisa hapo ugomvi uko wapi? Kwanza Baba unapata wapi muda wa kuandika majina kwenye madaftari ya mtoto? Unajaladia nn?[emoji23][emoji23] Nadhani tatizo limeanzia hapa
Kabis
 
Una bahati sana umempata mwanamke mwenye akili. Sheria ya Mtoto Sura 13 tafsiri rasmi ya mwaka 2014 Ibara ya 6 (1-2) inasema hivi:
" Haki ya jina na utaifa 6.-(1) Mtoto atakuwa na haki ya jina, utaifa na kuwafahamu wazazi wake wa kumzaa na ndugu wengine wa familia tandaa.(2) Mtu hatamyima mtoto haki yake ya jina, utaifa na kufahamu wazazi wake wa kumzaa na ndugu zake wengine kwa kuzingatia masharti ya sheria nyingine".

Ulichotaka kufanya wewe ni kosa Kisheria. Mtoto anapaswa kuitwa kwa ubini wa wazazio wake halisi wa kibaolojia. Kwa huyo mtoto wewe ni mlezi tu. Hivyo, huna sababu ya makasiriko, mpende mke wako, Zaa naye mtoto atakayeitwa kwa ubini wako. Kwa huyo mtoto wewe unabaki kama mlezi tu.
 
Alikuwa sahihi, mtoto sio wako, baba yake yupo hata kama hayupo nae ila haibadilishi kuwa mtoto ni wa kwake.

Wewe utajisikiaje ukija kuambiwa kuwa hayo majina uliyo nayo si ya kwako kwa asili yaani yupo baba yako mzazi ambaye ni ubini mwingine kabisa?

Nadhani ifike wakati tujue kutenganisha hisia na uhalisia.

Mpe mtoto jina la baba yake. Muache mama yake amlee hadi miaka saba then baba mtu aitwe mzungumze namna atakuja kuchukua mtoto wake akalee mwenyewe kwasababu mtoto akifikisha umri wa kuanzia miaka saba kuendelea anaweza kuishi na baba yake mbali na mama yake bila shida kwa sharti tu huyu baba mzazi awe na uwezo wa kumudu malezi ya mtoto na awe na mwanamke wa kusaidizana nae.
 
Ndo kashamuacha!
Uzuri kamuacha na mimba, sasa ngoja asikie mwanae kaitwa jina la baba mlezi

Yani watu wengine bana!
 
Alishaleta mrejesho kamuacha!
 
Kama hyo mtoto amebatizwa cheti chake cha ubatizo kina jina halisi la baba wa mtoto hvyo mtoto sio wako!!!!
 
Hiyo unayosema unamhudumia mtoto ukute mkeo nae anachukuaga hizo ada na matumizi mengine kwa baba yake akisema ni ya mtoto.

Huyo mtoto alishawahi kupelekwa kwa Baba yake Mzazi labda kusalimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…