Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Unalazimisha undugu Baby Daddy wa single mother... Muache akalelewe na aliplyapanda mbegu atakusumbua huyo kenge....
 
Mkuu mtoto ana badilishwa ubini akiwa haliyeokotwa au yupo kwenye kituo cha kulelea yatima na wazazi wake hawajulikani, Siyo mtoto wazaz wake wote wapo hai na Mama mtoto anamjua Baba mtoto halafu wewe Baba mlezi utake kubadili jina la Baba mtoto iko kitu hakipo.
 
Na yeye huyo aliyezalisha kwa nini asihudumie mtoto wake?
Jambo la kuhudumia mtoto wewe Baba mlezi halikuhusu, Baba mzazi atoe huduma hasitoe wewe Baba mlezi haya kuhusu na wala hutakiwi kuyajua.
 
Kwa ninavyowajua Wanawake wa Ki Bongo unaweza kukuta Baba wote wawili wanamhudumia huyo mtoto.

Yaani baba halisi anadaiwa hela ya ada sababu ni damu yake na baba mlezi/mpya nae anadaiwa hela ya ada akidanganywa kua Baba halisi amemsusa mtoto.

Anaeujua huu mchezo ni Mama ndio ndio maana anagoma Mtoto kubadilishwa ubini sababu atamueleza nini baba halisi ambae amekua akitimiza majukumu yake ipasavyo.
 
Wengi wenu msioelewa hoja ya huyu ndugu mtakuwa hamjui nini maana ya kulea mtoto, mtoto ni gharama mtoto ni dhamana mtoto ni changamoto, haiwezekani ubebe majukumu ya kumfanya mtoto awe mtu duniani bila hata ka complementary ka kuacknowledge mchango huo eti kisa mbegu si zako! Kama ana mbegu zake kwanini nipewe majukumu mimi ilhali mwenye mbegu zake yupo?! Funzo kubwa hapa ni kwamba never engage any woman having kid already! Ni kuwakimbia kama ukoma yaani.
 
Unapewaa majukumu sababu ya Ujingaa wakooo.. Si umeongozwaa na nyegee bhasii acha unyookee ilaa sio Kutaka mtoto wa mwenzio ummiliki kwa ubin wako kisa unatoa matumiziii wew leaaa akikua akamtafute baba yake maisha yaendeleee..!!
 
Hilo Changa la macho .umepigwa na kitu kizito jibaba jipange upya huyo cyo mwanao jibaba .mama ndiyo unajua mtoto ni wa nan
 
Utampaje mtoto ambae sio wako ubini wako bila ya kushauriana na wazazi wake? Hata kama umemlea toka anazaliwa uamuzi wa kumpa ubini wako sio wa kwako kabisa!
 
point hapa ni kuwa huwezi tu ukarupuka na kumpa mtoto ubuni wako bila kujadiliana na mama yake mzazi. To be honest hata kisheria haikubaliki hata siku moja! Sasa yeye anampa ubini mwengine shuleni wakati cheti cha kuzaliwa ana ubini mwengine huoni kuwa anamzalishia matatizo mtoto huko mbeleni?. Alichokosea ni kufanya maamuzi makubwa bila ya kumshauri mama mzazi wa mtoto na anabidi alijue hilo,
 
Kuna kitu Naona hakiko Sawa kwako na kwa mwenzio.

Wewe

Ulipaswa kumuuliza wanamalibaliano gan ya kulea huyo mtoto wao,inawezekana wewe unatoa pesa na kuhudumia shule nk kumbe mwenzio nae anapokea hela toka kwa mzazi mwenza zamatunzo ya mtoto.

So wew kuandika Jina lako itakuwa shida kwake.

Anatamani kurudi kwa bwana ake huyo kwako anataka ndoa tu atoe mkosi kama wanavuosemaga. Hawezi kukutishia anakuacha wakati Uko katika hatua muhimu za kumuoa na mahari umetoa.
 
Akili yako nna mashaka nayo


Yaani aweke mimba mwingine mtoto azaliwe ubin atumie wa kwako?
We utajisikiaje ukubwani unaambiwa huyo sio bab’ako huyo kakulea tu?

Et na mahali ukalipa hivi nikuulize zimo kweli?
 
[emoji23]Mkuu pole sana labda jina lako la ukoo limemshtua hilo Ngwengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…