The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
- Thread starter
- #21
Yaweza kuwa kweli!..ila kwanini kila mmoja ajinadi nakupa dawa ya kumuona mwenzake?! This means it is realDrama tu za wanawake.
Na ligi zisizoisha za Mama mkwe na mke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaweza kuwa kweli!..ila kwanini kila mmoja ajinadi nakupa dawa ya kumuona mwenzake?! This means it is realDrama tu za wanawake.
Na ligi zisizoisha za Mama mkwe na mke.
Asante mkuu,ila yeye hakusema kama anaweza kuona ya mbeleni bali ana uwezo wa kuona mauza uza ndivyo nilivyo muelewa
Bujibuji Simba Nyanaume loves your story.Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015,baada ya kuishi nae miaka kama mi 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani,nikamkuta mke wangu kakaa chini sebuleni kama analia afu mdada wa kazi kasimama...nikamuuliza mdada kuna nini hapa akaniambia naona kama dada kapandisha
Mama anakuaje mchawi for years watoto wake msijue? Wala asiwaletee madrama humo ndani?
Piga chini huyo mke.
Kama anao huo uwezo wa kuyaona hayo mauza uza angeyaona kwa mkeo siku ya kwanza tu ulipo mpeleka ukweni.Asante mkuu,ila yeye hakusema kama anaweza kuona ya mbeleni bali ana uwezo wa kuona mauza uza ndivyo nilivyo muelewa
Sasa mke si ni kiti wa majini? Yaani ana majini.Nikupe dawa mkuu? Tafuta bangi ukirudi home leo ukiingia tu washa mjani smoke hapo ndani kama mkeo mchawi hatokaa. Utakuwa umemaliza kazi.
Ndio mchawi au majini ukimpulizia Moshi wa weed ni kama vile umemwagia acid au umemfungulia Hyrdogen Cyanide gas.Sasa mke si ni kiti wa majini? Yaani ana majini.
Sawa. Huyu jamaa tayari anajua mke wake ana majini ambapo inawezekana pia mke wake wala hana majini alikuwa anajiigiza tu ili akisema kuhusu mama wa jamaa asiulizwe amejuaje.Ndio mchawi au madingi ukimpulizia moshi wa weed ni kama vile umemwagia acid au umemfungulia Hyrdogen Cyanide gas.
Sasa hata akijua kuwa ni mchawi atafanya nini? Kwanza ipo wazi kuwa mkewe na mama yake wote ni wachawi. Sasa kuhusu kuwa afanye nini mimi sina msaada nae.Sawa. Huyu jamaa tayari anajua mke wake ana majini ambapo inawezekana pia mke wake wala hana majini alikuwa anajiigiza tu ili akisema kuhusu mama wa jamaa asiulizwe amejuaje.
Ila sasa huyu anachotaka kujua ni kama mke wake ni mchawi. Akivuta bangi hata mke wake akishindwa kukaa bado anaweza kujidai ni majini yake hayataki avute bangi huko ndani. Hivo bado atashindwa kuthibitisha kama ni mchawi au ni kiti wa majini.
hapa watu tunajua mambo ya mbusussu na mikao ya msomali kafia kwenye fiat wao wanaleta somjo za majiniMajibu yote kanisani..jukwaa la mapenz tunajua mambo ya mikito tu
Mimi Nina mtazamo tofauti na wa kwako;ambaye mchawi ni mamaake..Kwa nn?MKEO NI MCHAWI.
Hata kama mama ni mchawi hana madhara kwako, tangu upo tumboni hadi. leo hii, angetaka kukuua mbona angekumaliza mapema sana?
mwisho kabisa,
Ingia kwenye maombi na ukitaka msaada wa maombezi karibu PM yangu. Bure kabisaa