Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia tule pamoja hataki. Jamani huyu mi simuelewi ndio maana ananenepa yeye mi kila siku nazidi kuwa kimbaumbau.
Hebu nishaurini.