Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Duuu unanitisha sasa
Sio kukutisha hivi unategemea huyo anaweza kutoa hata sadaka?
Anasidia masikini?
Kama wewe anakufanyia hivyo je kukuwekea sumu atashindwa?
Lingine ukiwa unakula mpe mgongo maana akiona unakula nyama anaweza kukuangalia kwa jicho la HUSDA ukanigwa ukafa [emoji23][emoji12]
Kama natania vile ila kuwa uyaone mimi mzee nimeyaona na kuyasikia
Usipuuze