Pole sana, ukiwa uko unakotafuta usijisahau mwenyewe, Weka mambo yako sawa kokote utakakokuwa na ukifika nyumbani kilichoko unagusagusa huku ukiwaachia watoto nao waguseguse, ila sielewi Mwanamke anawezaje kuwa mchoyo kwa watoto wake?Habari ndugu zangu Mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU
Yaani mke WANGU Ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji
Mi napenda pesa yangu niitumie kwenye familia yangu TUPole sana, ukiwa uko unakotafuta usijisahau mwenyewe, Weka mambo yako sawa kokote utakakokuwa na ukifika nyumbani kilichoko unagusagusa huku ukiwaachia watoto nao waguseguse, ila sielewi Mwanamke anawezaje kuwa mchoyo kwa watoto wake?
Wanawake wengi ni wachoyo sana, simama kwenye nafasi yako kama mwanaume, weka msimamo hakikisha wakati wote unausimamia.
Wanaume tuna advantage nyingi sana, tuna uwezo wa kujitoa OUT wenyewe wakati mambo yakiruhusu, tukiwa uko na marafiki tunaburudika kwa pesa zetu bila kusahau familia zetu, wewe vipi hufanyi hayo?
Mhhh mwambie ukweli, mwambie vitu vipi upendi.....muombee pia kwa Mungu uenda amekua kweny Mazingira ya kunyanyasika sanaHabari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia tule pamoja hataki. Jamani huyu mi simuelewi ndio maana ananenepa yeye mi kila siku nazidi kuwa kimbaumbau..
Hebu nishaurini.
Wewe ni muongo sanaHabari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia tule pamoja hataki. Jamani huyu mi simuelewi ndio maana ananenepa yeye mi kila siku nazidi kuwa kimbaumbau.
Hebu nishaurini.