Leo kuna jamaa ameuliza swali nikabaki nashangaa...anauliza hivi mbona nikienda bar nalipa bill elfu 50 na anaona ndogo ila kula elfu 20 tu nyumbani na familia yake per day anaona kubwa sanaMi napenda pesa yangu niitumie kwenye familia yangu TU
Nikitumia nje SKU nikichacha najilaumu
Yap,[emoji38][emoji38][emoji38]nimeona mtu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona
Unaona Sasa?! Haya Mambo mi ndio siyataki sasaLeo kuna jamaa ameuliza swali nikabaki nashangaa...anauliza hivi mbona nikienda bar nalipa bill elfu 50 na anaona ndogo ila kula elfu 20 tu nyumbani na familia yake per day anaona kubwa sana
Mh! Yamekua hayo Tena?! Halafu mbona we mfukunyuku sanaHaupati ng'ooo
Mpeleke bucha ale upande mzima wa mguu wa ng'ombe.Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia tule pamoja hataki. Jamani huyu mi simuelewi ndio maana ananenepa yeye mi kila siku nazidi kuwa kimbaumbau.
Hebu nishaurini.