Mke wangu ni mgumba natafuta wa kuzaa naye

Mke wangu ni mgumba natafuta wa kuzaa naye

Pillato

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
333
Reaction score
310
Nina mke na watoto kadhaa, kutokana na maradhi nke wangu hana uwezo wa kushika mimba tena. Kwakuwa sijatimiza idadi ya watoto ninaotaka nkaona nijiongeze.

Mwanamke ninayetaka kuzaa naye nataka awe ni mwanamke ambaye tayari ana watoto wawili au watatu, asiwe aliyezaa kwa kisu (upasuaji), umri kuanzia miaka 25 - 35 kabila lolote isipokuwa Mmachame.

Idadi ya watoto ninayohitaji kuongeza ni wawili tu, watoto watakuwa mikononi mwa mama yao mpaka watakapofikisha umri wa miaka10 - 12 ndipo nitawachukua na kuwatambulisha kwa ndugu zao na ndugu zangu pia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 as if wanawake ni maparachichi, unaenda tu unatoa maelekezo unapewa. Mkuu, huyo unaemtaka chora kwenye karatas kisha tembea nayo mfukoni. Hzo vigezo vyako ni vingi mno. Kwa mtazamo wangu ungeweka vigezo 2 tu. Awe na mbususu, na awe hai. Hayo mwngine utadeal nayo mkiwa mnaendelea kuiwasha dunia
 
Tafuta singo maza yeyote, uanze kumuhudumia baada ya muda utaona matokeo
 
Vipi mkeo umemshirikisha lakini?Hivi ukifariki kabla hajajifungua au hao watoto kabla hawajafika miaka kumi?
Akishashika mimba tu tununua kiwanja na kuanza ujenzi,hata nikifa mtoto atazaliwa akiwa tayari ana urithi wake.
Huwezi kuishirikisha serikali biashara ya bangi,unatafuta nini?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] as if wanawake ni maparachichi, unaenda tu unatoa maelekezo unapewa. Mkuu, huyo unaemtaka chora kwenye karatas kisha tembea nayo mfukoni. Hzo vigezo vyako ni vingi mno. Kwa mtazamo wangu ungeweka vigezo 2 tu. Awe na mbususu, na awe hai. Hayo mwngine utadeal nayo mkiwa mnaendelea kuiwasha dunia
Wapo wanaokidhi vigezo,wasiokidhi tupa kule
 
Utaongeza maumivu kwa mkeo maradufu pia iyo itakuwa ndo anguko la ndoa yako. Kwanza anamaumiv ya kutokushika mimba. Pili umezalisha nje kwa sabbu ya tatizo lake. Pia angalia lisiwe anguko la ndoa yako

NB sumu ya panya Bei poa Sana kuwa makini Sana
 
Back
Top Bottom