Mke wangu ni mgumba natafuta wa kuzaa naye

Mke wangu ni mgumba natafuta wa kuzaa naye

Nina mke na watoto kadhaa, kutokana na maradhi nke wangu hana uwezo wa kushika mimba tena. Kwakuwa sijatimiza idadi ya watoto ninaotaka nkaona nijiongeze.

Mwanamke ninayetaka kuzaa naye nataka awe ni mwanamke ambaye tayari ana watoto wawili au watatu, asiwe aliyezaa kwa kisu (upasuaji), umri kuanzia miaka 25 - 35 kabila lolote isipokuwa Mmachame.

Idadi ya watoto ninayohitaji kuongeza ni wawili tu, watoto watakuwa mikononi mwa mama yao mpaka watakapofikisha umri wa miaka10 - 12 ndipo nitawachukua na kuwatambulisha kwa ndugu zao na ndugu zangu pia.
Mmh Kaka kwa. Sijui Kama wewe Ni mkristo au muislam. Kama Ni mkristo Basi huyo ndio make wako ndio uliyefunga nae ndoa hata mbingu zinajua kuwa huyo ndio was kuzaa nae, kupata Shida hayo Ni matatizo yamejitokea ndani ya NDOA. Kaa katika familia yako bro.
 
Tafuta singo maza yeyote, uanze kumuhudumia baada ya muda utaona matokeo
Mkuu mwenyewe nimejiuliza kwa Nini anataka mwanamke aliyezaa tayari na tena sio mtoto mmoja. Tena kaweka mpaka umri,
Au hajawahi kula mwanamke wa Aina hio, 😀😀😁😁🤣 najiuliza Sana mkuu.
Pia Hakuna mwanamke atakaye kuwa tayari kuzaa tuu hivi Tena ambaye anawatoto aendelee kuwa singo maza, na mke wa mtu atagoma Bado coz Kuna kipindi mtoto atamtaka.
 
Back
Top Bottom