Swali zuri sanaVipi mkeo umemshirikisha lakini?Hivi ukifariki kabla hajajifungua au hao watoto kabla hawajafika miaka kumi?
Watoto anao.Swali zuri sana
Akishashika mimba tu tununua kiwanja na kuanza ujenzi,hata nikifa mtoto atazaliwa akiwa tayari ana urithi wake.Vipi mkeo umemshirikisha lakini?Hivi ukifariki kabla hajajifungua au hao watoto kabla hawajafika miaka kumi?
HapanaMkeo anatambua
Ninaye permanent ila ni mgumba,Mimi nataka watotoWatoto anao.
Huyu aseme tu anatafuta permanent mbususu in the name of kuzaa watoto
Hakuna kanuni ya kuomba papuchi, unaweza ukaomba kisasa na ukakosa vilevileUnaomba papuchi kizamani sana tena mtandaoni. Haziombwi hivyo
WanneUnawatoto Wangapi?
Isijekuwa unataka kutoa kijiji kama Mmasai
Wapo wanaokidhi vigezo,wasiokidhi tupa kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] as if wanawake ni maparachichi, unaenda tu unatoa maelekezo unapewa. Mkuu, huyo unaemtaka chora kwenye karatas kisha tembea nayo mfukoni. Hzo vigezo vyako ni vingi mno. Kwa mtazamo wangu ungeweka vigezo 2 tu. Awe na mbususu, na awe hai. Hayo mwngine utadeal nayo mkiwa mnaendelea kuiwasha dunia
Nipe mbinu mkuu,naanzaje?Tafuta singo maza yeyote, uanze kumuhudumia baada ya muda utaona matokeo