Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

weka vitu wazi usaidiwe tatizo nn?????
 
Ishu iko ivi tokea awe na ujauzito huu ni mwezi wa 9 yani kwasasa mimba ina meizi 8 na week2 kwa hiyo kuna maji maji yanatiririka sehemu za uke pale mtoto anapocheza tumboni@Emma
 
Maupenzi ya digital hadi raaaaaaha, kila kitu kinafanyika mtandaoni, suala hili nlitegemea uulize kliniki anakohudhuria mkeo na uwe unaenda nae.
Haya ni mambo ya chumbani kabisa, hivi umemtaarifu mkeo kuwa umeposti kitu kama hiki?

Hayo majimaji hayana budi kutoka ila kama yana rangi au harufu nenda hospitali.
Siku nyingine nenda klinic ukaulize.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ishu iko ivi tokea awe na ujauzito huu ni mwezi wa 9 yani kwasasa mimba ina meizi 8 na week2 kwa hiyo kuna maji maji yanatiririka sehemu za uke pale mtoto anapocheza tumboni@Emma

Ni hali ya kawaida kwa umri wa ujauzito. Muda wowote kuanzia sasa anaweza kujifungua. Hapo ni wewe na mkeo kuandaa mazingira mazuri kwake ikiwemo usafiri atakaotumia, nguo za kutosha hasa kanga na vitenge muweke tayari na mengineyo.
 
Eti wadada wa dijitali hawataki makhanga na vitenge/!!
Ni hali ya kawaida kwa umri wa ujauzito. Muda wowote kuanzia sasa anaweza kujifungua. Hapo ni wewe na mkeo kuandaa mazingira mazuri kwake ikiwemo usafiri atakaotumia, nguo za kutosha hasa kanga na vitenge muweke tayari na mengineyo.
 
Kupost mtandaon si tatizo mi nimetaka ushauri linapokukuta jambo kama hili alafu uko mbali na ospital unafanyeje
 
Jitahid clinic iwe kama sebule yako

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Jf bana kiboko, aliyeanzisha uzi ni Shindu Lelo halaf anayejibu wadau ni TWALIBU MAKOSA! Amazing! This means ni Mtu mmoja na I'd mbili tofauti ila kashindwa kuzi-manage!
 
Last edited by a moderator:
subiri kamfuko kapasuke uanzishe tena thread mkuu...nzuri hiyo.
 
Ishu iko ivi tokea awe na ujauzito huu ni mwezi wa 9 yani kwasasa mimba ina meizi 8 na week2 kwa hiyo kuna maji maji yanatiririka sehemu za uke pale mtoto anapocheza tumboni@Emma

Haya mambo ya multiple ID wewe TWALIBU MAKOSA ndiyo huyo huyo Shindu Lelo? Maana mwanzo kauliza Shindulelo lakini kwa sasa anayetoa maelezo ni TWALIBU MAKOSA.
 
Back
Top Bottom