wewe ndio umemfanya ajisikie malaika......mwambie kwamba hupendi hiyo tabia yake, asipobadirika na wewe mringie mnyime fimbo ....yako uone
Mwanamke yeyote msomi anastaili yake ya kuishi nae, sasa ikiwa wewe si msomi na unataka afuate taratibu zako ambazo dhahiri zipo chini ya elimu yake, hakika atakudharau tena sana,
Ni vema ukakutana na wataalamu wa maswala ya saikolojia ya mapenzi wakuweke sawa ili uendane na usomi wa mkeo, ni vigumu kumrekebisha yeye ila ni rahisi kurekebishwa wewe! Nadhani hapo umenipata, ni vigumu mwerevu kuwa mjini kuliko mjinga kuwa mwerevu!
Kwa mujibu wa maelezo yako tatizo naliona kwako, ili uishi na mwanamke salama hasa msomi kama huyo yakupasa mume ujitune kama umepitia mafunzo ya CIA yani uwe na akili ya ziada usitegemee akili ya kuzaliwa! Ni pm kwa msaada zaidi!
huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
Ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa kihaya?
Pole bana, huo ni ushamba unamwelemea! anaamini yeye ndo msomi kuliko wote, na mwenye ufahamu zaidi ya ufahamu wenyewe, pole bana ndo tabia zao(Nshomile) lakini.
naye akitafuta?hapo ni maombi tuMtafutie small house,atanyooka kama reli ya kati
Heading yako vp?Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
mambo ya ajabu sana haya mara kuliko mungu,kwanini ukusema kuliko Einstein unamta Mungu hovyoo
pili swala la elimu,kwani nani alikushauri kuoa mke wa chuo wakati elimu yako ndogo...
Umeniudhi sana kwenye ishu ya WAHAYA...hovyoooooooooooooo!!!