Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!
mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe-biblia
huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. mvumilie mrekebishe taratibu.
hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya
Mpige chini
hao ndo wahaya
bwana,utasikia ninkimanya ekyo,oo mara ntulima tuti tushuba twekondeka. .
.mpaka wanaboa.
mhaya umtafutie small house si atakuatfutia godown!!Mtafutie small house,atanyooka kama reli ya kati