Mke wangu ni mkorofi hatari

Asome hii ataelewa. Wengine mmetusaidia kueleza.
 

Aaah Mkuu.kwani ilikuwaje ukamua kumuoa na tabia hizo zote? Kama ni mkristo ukishafunga ndoa huwa haivunjwi tena,labda kifo au kwa uasherati.

Otherwise nashauri UMTONGOZE upya
 
Mkuu yanayokukuta ,ndiyo niliyoface mwaka 2008, shkran kwa Mungu niliwwza kukimbia nikiwa na miguu, tulikua kwenye uchumba, wajita waache tu Joy kidogo anitoe roho. Muhimu sali na Mtegemee Mungu, toka huko ulipo kama unataka maisha yako yawe marefu.
Mkuu sema na wewe maana wengine yametukuta hata Mpaka hatujielewi
 
Akumulikaye mchana usiku atakuchoma,kama ametishia kukuroga wewe muue kabisa.
 
Huwa mnatuonaga wajinga na wazembe sisi tusioa eehhh ?? [emoji16][emoji16][emoji16]

Pole Sana

Yaani pesa zangu . Nifanye kazi mie nimlishe na kumuhudumia mtu Huduma zote halafu Bado anitese !!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huo ufwala siufanyi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jamani..bimkubwa tena!!..msitufanyie ivo Jamani..tuvumiliane si ndiyo Shida na Raha au mnasahau viapo
Viapo vya nyoko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Binadam mwenzako anakunyima Amani ? Piga chin Tafuta mzgo mwingine ..na wenyewe ukizingua piga chin..! Mpka upate wa kufanana nae
Ndio ndio [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji16]

Jf mnanini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndo nilikua nasubiri kuona comment yako. Hapa uko sahihi kabisa.
 
Heri yako maisha yamekunyokea.lisipo kupata la kwangu litakupata lingine.umekuwa na matusi kama mke ninaye mlalamikia.au mmezaliwa pamoja? Mimi najua humu watu ni werevu na wenye busara kumbe kuna wapuuzi kama wewe!
Dahhh haya maneno nilaana tosha [emoji26][emoji26]
 
Thubutuu [emoji3][emoji3]
 
Ukute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa[emoji3]
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
Hawezi badilika huyu.
 
ndo mtego ulipo apo sasa
Hayo uliyo yaongea yanahitaji umfanyie mwanamke ambaye Ni mstaarabu. Ana high Iq ..Yuko very emotional . ana hekima na utiii ..lakini sio Hawa kina mwajuma nipe itakula kwako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hao pindi unapo waonyesha upendo wao huwa wanatafasiri tofauti wanakuona boya yaani umekwama kwao hauna ujanja bwege mtozeni jinga la mwisho kabisa [emoji16]
 
Ukute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa๐Ÿ˜€
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
Eti 'package' ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu mna maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ