Mke wangu ni mkorofi hatari

Aisee [emoji44]
 
Umeingia cha kike.

Ushauri.
Ondoka mwachiae kila kitu kaanzishe maisha yako mapya. Hilo ni janga na usioe tena hovyo hovyo hasa watu wa huko.
 
Kuna uwezekano mliingian jatika mahusiano baada ya yeye kuanza kukupenda wewe sio kwamba ulimuhangaikia wewe.

Umeolewa jombaaa.

Chakufanya.. tafuta rafiki au nfugu yake wa karibu mtongoze na hakikisha anajua
 
Sasa nimeaanza kulewa wale wasoma biblia wakisema ...mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenywwe....

Namimi ntaanza kuomba Mungu anipe busara KWENYE kuyaendea Mambo...

Ku over react Ni UPUMBAVU at it's peak
 
Mistar ya mwisho nimechekaaaa



Nawaona wanavofurahia wale waliokupenda kwa dhati ukawabetua kisa chaguzi zako.
 
Pole mkuu.

Mkeo ana insecurities, hajiamini, labda aliwahi kutapeliwa kimapenzi,hivyo bado anawindwa na her past experiences!..anatumia vitisho, moja kupata attention yako,mbili ni desperation she want you to remain in her life,

Mkuu simply mkeo ana vidonda, chunguza mahusiano yake ya mwanzo...

Solution ni kumuonyesha unampenda, fanya kila juhudi mfano kumtoa out,kumnunulia kidani etc.... ukiwa constanly reinforcing this in the enda utaona ana relax mkuu......

Jaribu hili nililokushauri, kama halifanyi kazi then mkeo ni mental case,she is not fit for a wife's role,muache tu kwa roho nzuri usiogope vitisho vyake, ukiendelea kuwa nae ilhali unajua ni mental case usije kulia siku moja kuwa umemwagiwa tindikali siku moja
 
dah haya mambo ndio siwezi vumiliaga kabisa.hela inisumbue kuitafuta alafu mwanamke pia asumbue
 
My Dear kesi ya huyu jamaa na Mimi zinafanana hata Mimi nilihisi Ni mental case. Coincidence Ni kuwa Kabila Lile Lile....😩😩😩😩
 
Wajita n watu wa maadili sana ,kuna jinsi anaamini ww unatakiwa kuwa kama mme na jinsi yy anavyotakiwa kuwa kama mkeo ,mila zao ziko ivo ,sasa ww kama baba ndio cobra kwenye mji kwa mjita migogoro itakuwa system yenu ya maisha,
 

Mkuu pole sana kwa tatizo Hilo! Kwa sisi wenye Imani tuna amini Mungu hawezi kukupa jaribu ambalo liko juu ya uwezo wako.

Nakushauri usije ukajidhuru kwa tatizo Wala usichukue maamuzi yoyote mabaya juu yake bado una nafasi nzuri zaidi ya hiyo. Nenda mahakamani fungua kesi na umpe talaka na ukubali hata kugawana mali utakuwa huru na maisha yataendelea. Please usije ukaharibu zaidi stand as a man!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…