Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Heshima kwako Dada,hapa nimepata madini,sasa atanitambua huyu kidomodomo wangu.
😎
 
Unahisi hili ndiyo suluhisho la matatizo rafiki yangu.!?

Umeoa hearly..?
Tunapoelekea hili ndio suluhisho for sure , labda nchi husika iwe katika utawala unao ongozwa na Sheria za kidini , na sio kwa mifumo hii ya kibepari waweza kuona hata Mataifa makubwa yaliyopiga hatua katika nyanja mbali mbali za kiuchumi etc jinsi mahusiano yanavyo wasumbua ,,
 
Kama anawajali watoto wako na anawatunza vizuri shida yako ni nini? Wewe hakikisha unatafuta pesa ya kutosha hayo mengine achana nayo atakuja kubadilika tu! Nadhani hapo ungefikiria namna ya kumshawishi ili kumpa mimba ya tatu tu.
 
Mimi ni muhanga wa hili ila mwishoni huwa nageuka "surprise"
Sio wewe tu hata Mimi huwa niko hivyo , Ikifika stage nikisema now it's enough ndio huwa mazima muhusika anabaki kushangaa shangaa tu umejuaje nime change ghafla
 

Ukweli ni kwamba wanawake ukiwaonesha unawapenda sana umekwisha ni lazima uwe katili kidogo
 
Mzee Hadi ufanye yote hayo kwa jitu lenye meno 32 inamaana hauna mambo mengine ya kufanya alafu ndio nyie mkifika uzeeni mnatia huruma kisa eti nguvu zenu mlizielekeza kwa wanawake badala kwenye Mambo yenu kuweni Kama kipanya
 
Unasimamia vizuri nafasi/majukumu as baba wa familia/mume??????
 
Ukweli ni kwamba wanawake ukiwaonesha unawapenda sana umekwisha ni lazima uwe katili kidogo
Kuna wanawake wapuuzi sana ukiwaonyesha mapenzi tu umekwisha.
 
Kanichoka hata Msg hajibu. Wanawake hawa!
Sawa msg hajibu lakini uliwahi jaribu japo kumpigia ili ujue hasa tatizo ni nini mkuu?? Ama simu zako pia hakupokea..!!?
 
Ushauri mzuri Sana ...ila ndio hivo jamaa yetu kashindwa mbinu na mwanamke na amebaki akijiliza liza Kama binti anaevunja ungo kwa boyfriend wake asimuache [emoji38][emoji38]....kiufupi huyu jamaa ni mzembe haswa anajifanya anamisimamo kumbe misimamo yake ndio opponent wake anachukilia advantage ila lenyewe halijijui ....


Mtoa mada wewe ni falaaaa.......nasema Tena wewe ni falaaaa
 
Sijaoa Mom na niko 50/50 na weza nisioe kabisa au nikaoa ,[emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo wewe niliona pahala umesema umeoa?? Kama si mwaka Jana basi juzi.!
Enwei, wacha nisiamini ya soshomedia, ila ninaamini umeoa.!
 
Huyu kashachoka kusikia thread za malalamiko ya hivi. Kwamba kama mwanamke anaonesha unyenyekevu wakati anataka ndoa halafu akiipata ndio anaanza timbwili basi hapo solution ni "uchumba sugu" tu. Hahahahaaaaa. Watu wana ma-idea hatari
Haha, asikudanganye mwaya mwenzio yupo kwenye Ndoa takatifu..!
 
Wala sio fala. He is a good man na mke wake atakuja kujuta sana akimpoteza.

Mapenzi yanaweza kumchanganya mtu yeyote cha kufanya ni kumtanguliza Mungu katika kila jambo praying our hearts dont fall into the wrong hands.
 
Sawa msg hajibu lakini uliwahi jaribu japo kumpigia ili ujue hasa tatizo ni nini mkuu?? Ama simu zako pia hakupokea..!!?

Nazo hatojibu itakua amejua nampenda sana sasa ananifanyia vitimbwi kama jamaa hapa. Wanawake hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…