max as well
Senior Member
- Sep 10, 2023
- 141
- 315
Salamu
Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98
Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk
Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na maadili 100 ila mtandao utamnasa tu
Kama unabisha kamata simu ya mkeo,mpenzi,mchepuko mshtukize uangalie huko ulimwengu wa inbox,DM ni balaa
Kwa ushamba wangu nimeamua rasmi sitaki mke,demu,mchepuko,mpenz awe mtumiaji wa mitandao vinginevyo amiliki simu ya tochi
Ni Bora kupigiwa na muuza mkaa taarifa zake ipo siku ntazinasa tu mitaani kuliko mdau wa dm,inbox
Nawasilisha