Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kama naanza kukupenda hivi[emoji23], au nachanganya mafile?[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama naanza kukupenda hivi[emoji23], au nachanganya mafile?[emoji1]
Kama naanza kukupenda hivi[emoji23], au nachanganya mafile?
Hapo kweli, basi tuwe tu marafiki[emoji23]Mhm!! Una hatari wewe!!![emoji28]
Huogopi watu humu wanakuona, watamwambia mpz wako?
Hapo kweli, basi tuwe tu marafiki[emoji23]
Hata sielewi nafanyaje hapo, wewe unaweza nisaidia vipi hili?Kumbe ulitaka kunichezea, moyo wako uko kwa mwingine? [emoji1787]
Hata sielewi nafanyaje hapo, wewe unaweza nisaidia vipi hili?
Nikiwa na nyie wote wawili kuna shida?Chagua moja, unazika au unasafirisha [emoji23]
Kupwa na kujaaPole sana kwa kulinda bahari.
Nikiwa na nyie wote wawili kuna shida?
Wewe kubali, hilo la huyo bibie niachie mmTatizo huyo bibie atakubali uke wenza? [emoji1787]
Wewe kubali, hilo la huyo bibie niachie mm
Sema nae nampenda sana, mapenzi yananivuruga sana sijui nifanyeje[emoji23]Mpe talaka ubaki na mimi tu! [emoji3059]
Sema nae nampenda sana, mapenzi yananivuruga sana sijui nifanyeje[emoji23]
Sio wote mkuu siungi mkono hojaSalamu
Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98
Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk
Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na maadili 100 ila mtandao utamnasa tu
Kama unabisha kamata simu ya mkeo,mpenzi,mchepuko mshtukize uangalie huko ulimwengu wa inbox,DM ni balaa
Kwa ushamba wangu nimeamua rasmi sitaki mke,demu,mchepuko,mpenz awe mtumiaji wa mitandao vinginevyo amiliki simu ya tochi
Ni Bora kupigiwa na muuza mkaa taarifa zake ipo siku ntazinasa tu mitaani kuliko mdau wa dm,inbox
Nawasilisha