max as well
Senior Member
- Sep 10, 2023
- 141
- 315
- Thread starter
- #81
Kwaiyo unaamini mtu wako anatumika na wadau wengne sio
Tatizo nililo nalo kwako ni kuwa Siri ya mwenzako inakuhusu nini wewe?
Pili, Kwa nini umzuie yeye asitumie simu janja ilhali yeye hakuzuii Kutumia simu janja yako?
Simu hazibadilishi Watu. Watu ni wale wale.
Mkeo ni yuleyule bila kujali anasimuau Hana.
Kingine, upendo ni Pamoja na kumuachia mwenzako Uhuru WA kuamua mambo anayoyapenda, kama mambo hayo yanaenda kinyume na wewe muandikie Talaka muachane Kwa Amani.
Na po huo utoto na upumbavu wa kufuatiliana na kumfanya Mkeo Msukule wako.
Yaani Mkeo asitumie Smartphone kisa Wivu na mawazo yako ya kijinga.
Hiyo akili ya wapi Mkuu