Mke wangu uko wapi? Nimechoka kuwa single nahitaji kuoa

Mke wangu uko wapi? Nimechoka kuwa single nahitaji kuoa

Inog01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,291
Reaction score
1,961
Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa.
Nina miaka 29.
Dini mkristo
Kazi nimejiajiri.

Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu
Umri asizidi miaka 27 .
Dini awe mkristo
Akiwa mweupe ama maji ya kunde ni vizuri zaidi, asiwe chibonge.

Niko serious aliyetayari ani PM tafadhari.
 
Sijakupata mkuu
Sijajua hapo sasa nikusaidieje kwa vile kati ya zile methods za problem solving, hii nimetumia First Principle. Au na wewe umekumbwa ganzi la HOFU ya nimonia, kama hawa jamaa walaghai wa Ufipa!???
 
kama unasifa zote hizo inakuaje unakosa mchumba , inabidi kuingia kwenye mahusiano kutafuta kukuwa na sio kukimbia upweke , bado kuna upweke kwenye maisha ya ndoa hasa unapoingia kutokea katika mtazamo hasi kama wako, you cant appreciate to love someone if you do not love yourself deeply and seek what is best for you, your attachment style will chase and scare the one you love, seek abundance first.
 
Muuzaji anadai dau langu lipo chini sana!! Elfu 20!!! Kutoka elfu 70!! Kwa kitanda na godoro lake!! Hatari sana.
Hahaaa nilisema hata ntakuongezea japo kidogo jitahidi ila ukaishia na 20 yako ileile, Hivi familia utaitunza kweli wewe 😀
 
huyu naye kajiamini nn mpka kutaka kuowa ss tunataka tutoke we unajipendekeza vigezo vyako mke hatafutwi unampta katika namna ambayo hujaipanga .kwa vigezo hivyo mzae wako tu boss ama toi la wachina
 
Mnataka kutoka sababu hamkuweka vigezo mwanzo,mnataka mjipange upya
huyu naye kajiamini nn mpka kutaka kuowa ss tunataka tutoke we unajipendekeza vigezo vyako mke hatafutwi unampta katika namna ambayo hujaipanga .kwa vigezo hivyo mzae wako tu boss ama toi la wachina
 
Back
Top Bottom