Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

Vipi baba yako ?

Ulivyomwacha pekee yake kijijini na wewe utaachwa hivyohivyo

Na wanao

Muwe mnawachukua wazazi wote pamoja

Unyambizi sana hata usingeleta kisa hiki hapa
Sasa nyie vijana endeleeni kukataa ndoa huku mkizaa nje na kutelekeza watoto harafu mkishazeeka mtegemee mtaletwa mjini.
 
Ni kweli Mtumishi haya yanatokea sana kwenye famili nyingi.

Ni hekima kuhakikisha Mama na mkwe wake wasikae nyumba moja kwa muda mrefu.
 
Bila mama wewe haungekuwa duniani, mke wako anashukuru kwa hilo. Mama kumzalia bwana, heshima zinajikita hapo.
 
Mpka uone ajabu mkeo kumfanyia mama yako utu ni kwamba kwa sasa ndoa zinatisha ,ndio maana umeona ajabu mama kufanyiwa wema na mkeo , kwa kizazi hiki cha sasa mke kumfanyia mama wa mume wema imekuwa ni muujigiza , kataa ndoa kwa sababu mke kumpenda mama yako ni kitu cha kubahatisha mno tena cha kushuhudia kwenye umati .
 
Hongera sana chief kwa kupata 1 in million..maana wengine waliobaki huku kitaa wana roho ngumu na mbaya
 
Hongera sana chief kwa kupata 1 in million..maana wengine waliobaki huku kitaa wana roho ngumu na mbaya
Asante sana aisee lakini mbona wapo wengi tu. Ni namna tu ya kujipanga sisi wanaume tunaweza kuamua wanawake zetu wa behave vipk na ikawa.
 
Kushangazwa na hilo alilofanya huyo mkeo kunafanya niigope zaidi ndoa... kwani hiyo si ni kawaida jamani au na hela ya matumizi ilitoka kwa huyo mwanamke?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…wakataa ndoa mna msimamo mkali sana kama al-qaeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…