Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

Kushangazwa na hilo alilofanya huyo mkeo kunafanya niigope zaidi ndoa... kwani hiyo si ni kawaida jamani au na hela ya matumizi ilitoka kwa huyo mwanamke?
Bila kujali pesa ilitoka kwa nani lakini haya ni matendo ya wema.
 


Hongera kwake na kwako . Ulimpata mtu sahihi , msikilize mzee Bitchuka hapo kwenye wimbo unaitwa sogea karibu wa juwata jazz band kuna somo.
 
Mkeo Ni smart kichwani.....ukitaka kumteka mume Anza kumteka mama yake
Perfect. Na ndio maana hata wale wasichana wenye ku ekiti wakati wa Uchumba huwa wanajifanya wanampenda sana Mama mzaa chema zawadi za hapa na pale
Akishaolewa sasa mambo yanachange
Infact wanawake wanajua ili ndoa iwe tamu lazima ifanyiwe mambo matamu. Bahati mbaya kwa wengine inakuwa kinyume
 
Hongera sana mkuu na Mungu akujaalie zaidi na zaidi

Haya ndiyo mapendo Unique Flower anataka
 
Kama uliyoandika yote Ni kweli Basi mkeo kashaandaliwa kiti chake huko mbinguni πŸ™

May her live longer.
 
Nilikua nime andika bonge la content SEMA na post....
Inasema do not have permission to.....
Owky
Mmekosa uhondo for sureπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…