Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

Kabisa wakiishi mbali ndoa inakua nzuri. Ila akihamia hapo utarudi na uzi mwingine
Mkuu ni sahihi, wanawake wakikaa pamoja hawapatani, wanagombana mama na mtoto seuze mtu na mkwe wake. Ila, wazaz wanaotambua hilo hua wanakuja kutembea wanakaa kwa mda alaf wanaondok kwasbb wanajua wakikaa sana watagombana mwisho wa siku.
 
Hii habari imenitia aibu. Nimeaibika. Nilitegemea kurukiwa na damu kwa hayo machafuko ambayo ningeyakuta kwenye habari kamili baada ya kusoma kichwa cha habari 🀣. Anyway kama ni kweli nami pia nampongeza mkeo kwa huo wema. Ukitaka kumwacha naomba nitaarifu wiki moja kabla.
 
 
 
 
Hapa Kataa ndoa wamepigwa za UsoπŸ˜†πŸ˜†
 
Nilimtumia mke wangu laki 2 wagawane laki laki na mama angu,wife akampa elfu 80 kakata 20 na wakati maza alikua anaenda hospital..ukibahatisha mke mwenye akiri kama wako ishi nae vizuri.
Akaona hiyo 20 itamfaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…