Mke wangu wa ndoa kapewa Mimba na mtu mwingine

Mke wangu wa ndoa kapewa Mimba na mtu mwingine

Gobore kikubwa hapo labda kama alikosa uvumilivu wakat mie nimekosa likizo kazin kwa huo muda wa miaka 3 na huduma ya kimwili japo kila nikwambia yeye anifuate mkoan alikuwa anakatAa

Pole ndugu yangu. Najua maumivu yako. Kuwa mvumilivu. Naomba kujua zaidi wakati wa uchumba wenu ilikuaje?
 
kuna mijitu migine mibwege hapo kuna kuomba ushauri kama issue ni kufunga ndoa kwani lazima kanisani yaani akuzalilishe kisa hujui utafungaje ndoa nyingine..
 
We vipi? Unatutukana au? Mwanaume gani wewe mambo ya maungoni unataka ushauri? Au unatutega? ,,,@%#;"?&%@#..
 
Kuna kazi nafanya sasa we had shortage ya wafanya kaz wakawa wanacarry dayz kwamba nikienda likizo ntapata zote


Kwa maelezo yako, naona bado unampenda "mkeo"...lol!


uswasisikilize tena Hawa watu wa JF, wanataka kukuvunjia ndoa mdogo wangu !
 
hahaha, babu kama ni mwanao anakuja na hadithi kama hii unampiga teke la hapo kati kwanza kuongeza uzalishaji mbegu! Huwezi amini katokea kwenye viuno vyako eeh?
Siku hizi kuwa mzazi ni wito aisee, wito wa kuogopesha kuliko kuwa Pope!

Yaani kuna vitu unamwomba Mungu viwakute warithi na siyo wewe!

unaweza kukimbilia kutafuta kamba na kujifunga shingoni ili uwapishe na dunia yao!
 
Kila kitu mwanzon alikuwa anapata mahitaj yote ya mke nilisitisha nilipothibitisha ana mimba isiyo yangu

Kwanza wewe ni ----- mkubwa,
Pili hili jambo siyo la kuleta JF peleka kanisani mlipofunga ndoa, kwanza huyo mchungaji hatataka kuwasuluhisha bali ataivunja ndoa!

nenda haraka usije ukafa bure!! du sikujua kama wanaume kama wewe bado wapo duniani! mbona sikukujua mapema!
ama kisicho riziki hakiliwi
 
Kwani tumeambiwa kuwa kuna mtu ameomba msamaha?

halafu muda si mrefu tutaulizwa kama kuna haja ya kufanya DNA test...lol"
Msamaha sio lazima uambiwe 'darling Iam sorry'.Siku hiyo kama ni bibi utaona tu hata glory ni kama siku ya honeymoon
 
Piga chini huyo hakufai kwanza una wa kikatoliki hongera lkn nakwambia PIGA CJINI JUYO CHANGU.
 
Msamaha sio lazima uambiwe 'darling Iam sorry'.Siku hiyo kama ni bibi utaona tu hata glory ni kama siku ya honeymoon

Kuombana msamaha katika issu kama hii ni sawa na kukimbiza maiti ICU! Itasaidia kitu?
 
Nimejiharishia hapa nilipo lol by Smile.sivai kiatu chako.nafikiri ubongo wako umefloat.
 
Last edited by a moderator:
Kama unafata BIBLIA nadhani Dhambi ya kuzini ndio MWISHO wa NDOA. Sasa huyo mwanamke hakifai.

Ila kwa upande mwingine NAKULAUMU SANA, kwa kutokuwa na MSIMAMO. Mwanamke aolewi mapambo, anaolewa ili na tunaoa ila kuhalalisha tendo na Ndoa na sio kuwasiliana. Haiwezekani mkae mwaka mmoja hamja TIANA.

Ana nyege kama binadamu wengine... Sasa hawezi kukaa mwaka hamjakutana kimwili mwaka mzima HAIWEZEKAN... in other way ULIMUWEKA KATIKA MAJARIBU WEWE MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom