Mke wangu wa zamani alikuwa pasua kichwa, nilimuacha nikaoa mwingine sasa nina furaha

Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.
Nyumba niliiona kama kuzimu, sikuwahi kumdhania mwanzo kipindi najuana nae alikuwa kondoo kavaa ngozi ya chui. Baada ya kumuoa ndo nilianza kushuhudia rangi yake, muda wote ni kukasirika, gubu, kiburi kugombana muda wote na wivu wa kijinga.[emoji2827]
 
Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.

Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa balaa, ana gubu, kiburi, na mdomo sana, ilikuwa inafika mahali naona hata sio busara kurudi nyumbani mapema.
Ndoa ni kama kubet tu. Unabet mara ya kwanza. Ukiliwa hutakiwi kukata tamaa. Unaweka mkeka mwingine unabet. You just keep trying mpk mkeka utiki. Kuna mwingine unamuoa sio chagua la Mungu ni tamaa zetu.
 
Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.

Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa balaa, ana gubu, kiburi, na mdomo
Though jipe muda kwanza mkuu, ni mapema kumwaga sifa zote hizo kwa mkeo mpya, Wanawake huwa wanajifahamu wenyewe, Muombe Mungu aishike ndoa yako hiyo idumu mpaka mzeeshane.

Hata mimi Nina Experience hiyohiyo..Mwanamke haridhiki, ni hasira, visasi, Gubu, Matamko, Vitisho, anatishia kujimaliza, anaona anaonewa kisa wazazi wake waliisha kufa.

Mwaka Jana mwezi wa sensa, huyu mama alipasua kishikwambi cha Sensa kisa visa visivyokuwa na kichwa wala miguu, nusura nifungwe na serikali ila nikaponea chupuchupu..ananuna anahama chumba mwezi mzima, yaani lol, nmempisha sasa na nitaishi mwenyewe wakati nikitafakari maamuzi gani magumu na ya busara nichukue..

Nimeamua kusonga mbele, simtaki tena..nina miaka 2 kasoro naye kwenye ndoa tena ya kanisani lkn nmegundua nmeoa mpagani asiye na hofu yeyote kuhusu Mungu na mume, ngoja ampate mwingine labda watachukuliana mizigo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duuh pole sana wanawake sijui tunakwama wapi 2years ya ndoa na unahama chumba!!!! [emoji15]
 
Story ya upande mmoja na umeongeza chumvi nyingi kumnanga x wako. Mwanamke hata awe na kiburi kikubwa hakuna ndugu anayeweza kumuogopa zaidi ya kumdharau.
Point taken
Tumtamfute na shemela wetu naye ateme nyongo halafu tulinganishe
 
Ukutane na mwanamke wa arusha aliyesoma soma na kafanya kazi NGO’s. Unaweza jikuta unapiga kuua.
 
Back
Top Bottom