Mke wangu wa zamani alikuwa pasua kichwa, nilimuacha nikaoa mwingine sasa nina furaha

Mke wangu wa zamani alikuwa pasua kichwa, nilimuacha nikaoa mwingine sasa nina furaha

Sasa mpwa huku unazungumza hivi ila ukishuka kwenye Uzi unakuta uliwahi kuanzisha nyuzi kadhaa. Anyway, hongera sana sana. Mungu akujalie watoto wema
Hahaha..
X katikisa kichwa mpaka kumbukumbu zikapotea.
 
So far, ndoa nyingi zilizodumu kote duniani ni zile ambazo watu walioana walikuwa marafiki sana hata kabla ya kufikiria kuingia kwenye mahusiano., mtu yoyote ambaye anakuwa rafiki yako wa karibu kwa muda mrefu, ni lazima mnakuwa na chemistry nzuri ambayo iliyo waunganisha na mkaelewana, xo kama una rafiki yako wa karibu wa muda mrefu basi uyo atakuwa mke au mume bora kwako.
 
Kuna hili lakin kuna factors nyingi pia. Personalities zikiendana. I mean kitabia, kikazi, kimawazo.
Problem is wengi wanaokuna hawaendani taka kwa 70%, kinacho wa drive ni expectation, wasipoipata ni mvurugano huanza ndani ya ndoa
 
Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.

Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa balaa, ana gubu, kiburi, na mdomo
Kumbe kuoa rafiki kunalipa?
Carleen uisome hii😂 toka kwa mzee wa kimasihara
 
So far, ndoa nyingi zilizodumu kote duniani ni zile ambazo watu walioana walikuwa marafiki sana hata kabla ya kufikiria kuingia kwenye mahusiano., mtu yoyote ambaye anakuwa rafiki yako wa karibu kwa muda mrefu, ni lazima mnakuwa na chemistry nzuri ambayo iliyo waunganisha na mkaelewana, xo kama una rafiki yako wa karibu wa muda mrefu basi uyo atakuwa mke au mume bora kwako.
True
 
Uoe mchanga halafu ufelii life inakuwaga ngumuu wana moyo wa kusaka hasa ukutane na mwanamke anaijua thamani ya ndoa na mume...
Unaweza fail pia wengine wanataka waanze kuwanyanyua kwao huku wewe unarudi nyumaa.labda mchaga ambaye kwao wapo vzr hapo utatoboa..ila kama kwao hovyo atahakikisha anakunyonya damu zotee ili kwao kuwe kutamu.wanathamini sana migombani kwao.
 
Tangu umuoe huyo mpya una muda Gani naye...isijekuwa na yeye anakusikilizia tu kabla haujaanza timbwili
Tokea 2021 sio hivyo tu namjua kwa miaka 13 sasa namjua ndani nje hata kabla sijamuoa huyo wa kwanza huyu nilikua namjua vizur sana
 
Story ya upande mmoja na umeongeza chumvi nyingi kumnanga x wako. Mwanamke hata awe na kiburi kikubwa hakuna ndugu anayeweza kumuogopa zaidi ya kumdharau.
Hujawahi kuona wanawake wana viburi halafu awe ni mtu wa kukasirika hovyo na hataki mazoea na watu
 
Back
Top Bottom