mzalendo namba moja
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 537
- 837
Yaaani, wakiishakuwa certified na vyeti vya ndoa wengi huona wamemaliza kila kitu.Duuh pole sana wanawake sijui tunakwama wapi 2years ya ndoa na unahama chumba!!!! [emoji15]
Sio wote aisee ninayo miaka mingi ya ndoa sijawahi kufanya huo ujingaYaaani, wakiishakuwa certified na vyeti vya ndoa wengi huona wamemaliza kila kitu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ninakupongeza nao , go on faithfully and peacefully..Amani ya ndoa na hatima yake Iko mikononi mwa mwanamke mwerevu..yule wa Mithali 31Sio wote aisee ninayo miaka mingi ya ndoa sijawahi kufanya huo ujinga
Hahaha..Sasa mpwa huku unazungumza hivi ila ukishuka kwenye Uzi unakuta uliwahi kuanzisha nyuzi kadhaa. Anyway, hongera sana sana. Mungu akujalie watoto wema
So far, ndoa nyingi zilizodumu kote duniani ni zile ambazo watu walioana walikuwa marafiki sana hata kabla ya kufikiria kuingia kwenye mahusiano., mtu yoyote ambaye anakuwa rafiki yako wa karibu kwa muda mrefu, ni lazima mnakuwa na chemistry nzuri ambayo iliyo waunganisha na mkaelewana, xo kama una rafiki yako wa karibu wa muda mrefu basi uyo atakuwa mke au mume bora kwako.
Kumbe kuoa rafiki kunalipa?Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.
Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa balaa, ana gubu, kiburi, na mdomo
TrueSo far, ndoa nyingi zilizodumu kote duniani ni zile ambazo watu walioana walikuwa marafiki sana hata kabla ya kufikiria kuingia kwenye mahusiano., mtu yoyote ambaye anakuwa rafiki yako wa karibu kwa muda mrefu, ni lazima mnakuwa na chemistry nzuri ambayo iliyo waunganisha na mkaelewana, xo kama una rafiki yako wa karibu wa muda mrefu basi uyo atakuwa mke au mume bora kwako.
Yah na ni kweliYap rafiki...
Umesoma kuwa kuoa/kuolewa na rafiki inalipa?
Unaweza fail pia wengine wanataka waanze kuwanyanyua kwao huku wewe unarudi nyumaa.labda mchaga ambaye kwao wapo vzr hapo utatoboa..ila kama kwao hovyo atahakikisha anakunyonya damu zotee ili kwao kuwe kutamu.wanathamini sana migombani kwao.Uoe mchanga halafu ufelii life inakuwaga ngumuu wana moyo wa kusaka hasa ukutane na mwanamke anaijua thamani ya ndoa na mume...
Tokea 2021 sio hivyo tu namjua kwa miaka 13 sasa namjua ndani nje hata kabla sijamuoa huyo wa kwanza huyu nilikua namjua vizur sanaTangu umuoe huyo mpya una muda Gani naye...isijekuwa na yeye anakusikilizia tu kabla haujaanza timbwili
Hujawahi kuona wanawake wana viburi halafu awe ni mtu wa kukasirika hovyo na hataki mazoea na watuStory ya upande mmoja na umeongeza chumvi nyingi kumnanga x wako. Mwanamke hata awe na kiburi kikubwa hakuna ndugu anayeweza kumuogopa zaidi ya kumdharau.
Haitotokea mkuu trust me huku nina amani