Mke wangu wa zamani alikuwa pasua kichwa, nilimuacha nikaoa mwingine sasa nina furaha

Mkuu mshana hizi ndoa ni mitihani sio poa
 
Ndoa ni kama kubet tu. Unabet mara ya kwanza. Ukiliwa hutakiwi kukata tamaa. Unaweka mkeka mwingine unabet. You just keep trying mpk mkeka utiki. Kuna mwingine unamuoa sio chagua la Mungu ni tamaa zetu.
Fact
 
Huyu wangu wa sasa namjua kwa miaka 13 hata kabla sijamuoa huyu wa sasa najua ndani na nje maana tokea huko vidato tupo wote madhaifu yake nayajua na yangu anayajua usisahau alikua rafiki yangu tokea huko kuna mambo yalikua yanatuweka pamoja muda wote ndo maana hatokuja kubadilika kwangu
 
Kabisa huyu tumepitia hadi msoto wote kwa miaka yote namjua namjua ananijua tokea vidato huko na bado tumeenda wote hadi elimu ya juu tulikua karibu kiasi kwamba huyu mwanamke ndo alikua rafiki yangu na mtu niliyemwamini kuliko watu wote tokea vidato hadi chuo kikuu
 
Kijana wetu saivi unadekezwa, ndoa tamu, Mungu akupe nini tena kwenye huu ulimwengu? NYIE HII DUNIA...!!!!???
 
Chai
 
Hii ina ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…